HAMASISHENI USULUHISHI KUDUMISHA AMANI; MSAJILI MKUU
Na Mary Gwera, Mahakama-Dodoma Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Wilbert Chuma ametoa rai kwa Wadau wa Mhimili huo na wananchi walioshiriki na…
Na Mary Gwera, Mahakama-Dodoma Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Wilbert Chuma ametoa rai kwa Wadau wa Mhimili huo na wananchi walioshiriki na…
**************************** Fedha zilizotumika nchini kutokana na mauzo ya dhahabu zafikia shilingi Trilioni 5.6 Wajumbe wa Kamati wapongeza matokeo chanya ya ubia, yashauri maboresho Kampuni…
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Daniel Chongolo akizungumza na Wanachama na Viongozi wa CCM Tawi la Kibaoni Kata Ya Melela,katika ziara ya…
Meneja Mkuu wa Mgodi wa Barrick Bulyanhulu,Cheick Sangare (Kushoto) akibadilishana nyaraka za makubaliano na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Nyang’hwale, Bw. John…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Katibu Mkuu wa Kanisa la Africa Inland Church Tanzania…
*************************** Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha Januari 29 HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kibaha Vijijini imeazimia kumpa kazi Mkuu mpya wa Wilaya ya…
****************** Na Rayson, WAF – Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya imebainisha mikakati itayosaidia katika kutokomeza ugonjwa wa ukoma nchini ifikapo mwaka 2030, ikiwemo…
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la…
Jaji mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Songea Dkt Yose Mlyambina katikati,Jaji wa Mahakama kuu kanda ya Songea Upendo Madeha wa tatu kushoto, wakiwa katika picha ya pamoja na wadau waliofanikisha bonanza la michezo mbalimbali lililoandaliwa na mahakama katika wiki ya sheria nchini. Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Songea Dkt Yose Mlyambina akizungumza kabla ya kufunga bonanza la michezo katika uwanja wa shule ya msingi Sokoine Manispaa ya Songea,kulia kwake Jaji wa Mahakama Kuu kanda ya Songea Upendo Madeha. ******************************* Na Muhidin Amri, Songea JAJI Mfawidhi wa Mahakama Kuuu kanda ya Songea Dkt Yose Mlyambina,amewaongoza watumishi wa mahakama,taasisi na idara za…
****************** Na Mwandishi Wetu, Dodoma Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) limefanya Mkutano Mkuu Maalum na kufanya mapitio ya Katiba…
*********************** Na. Abel Paul wa Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi mkoani Arusha limesema kuwa limefanikiwa kuwakamata wanafunzi wawili wa chuo cha Taasisi ya…
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi (katikati) akizungumza na Watendaji wa Halmashauri ya Mji Geita na Halmashauri…
Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba Bw. Imani Kajula akizunguza na wanasimba kwenye mkutano mkuu wa Uchaguzi unaofanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa…
Waziri wa Masuala ya Uchumi wa Finland, Mhe. Mika Tapani Lintilä akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es…
Baraza la mitihani NECTA limesitisha utaratibu wa kutangaza shule bora na mwanafunzi bora wa matokeo ya kidato cha nne Kaimu katibu…
Katibu wa NEC-Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Edward Mjema amesema ni lazima Viongozi wote nchini wasikilize kero na kuzitatua kwa haraka na muda mfupi…
Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt.Pindi Chana akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt.Damas Ndumbaro mara baada ya kufanya kikao Jijini Dodoma…
NECTA leo January 29,2023 imetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2022 ambapo Watahiniwa wa Shule 456,975 kati ya Watahiniwa 520,558 wenye…
******************************* Mwandishi wetu, MAIPAC Arusha.Shirika la Kimataifa la Freedom la House , limeahidi kufanya kazi la taasisi ya Wanahabari ya kusaidia jamii za Pembezoni…
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Gilbert Kalima akizungumza na wananchi, Wana CCM na viongozi wa chama hicho…
Na John Mapepele Rais mstaafu wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho ameipongeza Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo kutokana kufanya vizuri kwenye Sanaa ya Muziki…
Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Wami, Harold Lambileki (kushoto) akimkabidhi kadi ya pikipiki mshindi wa Pikipiki katika droo ya NMB MastaBata kotekote,…
MBUNGE viti Maalum Mkoa wa Dodoma anayetokana na Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Mariam Ditopile amewawezesha wanafunzi wenye Mahitaji Maalumu vifaa vya shule kwa…
Wakurugenzi wa bodi ya EWURA wakiongozwa na Kaimu Mha. Mkazi wa mradi wa Julius Nyerere (JNHPP) wakielekea kwenye jumba la kuendesha mitambo (Power House)…
TIMU ya Simba SC imetinga hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada…
Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi wilaya ya Iringa Shedrack Masanika akipanda mti ishala ya utunzaji wa mazingira na vyanzo vya maji Joseph Lyata mjumbe wa…
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg Daniel Chongolo akizungumza na Wanachama wa CCM Shina Namba 18 Kata ya Itaragwe, Kitongoji cha Matale,…
Na. Mwandishi wetu Jeshi la Polisi. Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limeungana na watoto wanaoishi katika kituo cha kulelea Yatima kijulikanacho kwa jina la…
Katibu Mkuu wa Chama Cha Democratic Party (DP)Abudul Mluya akizungumza kwenye kikao Cha ndani na wanachama wa chama hicho kuelekea kwenye uzinduzi wa mikutano…
Mfano wa hundi ya shs 100 milioni iliyotolewa na Nabii mkuu katika soko la Samunge lililopo jijini Arusha. Mtume ,Balozi wa Nabii mkuu Mh…
Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na biashara Dkt. Hashil Abdalah akizungumza katika kikao na wadau wa uzalishaji wa sukari chini kilicholenga kufahamu hali…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Dkt.John Jingu baada ya kuongoza Mkutano Kazi wa…
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa kituo cha utoaji huduma jumuishi kwa manusura wa ukatili wa…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Waandishi pamoja na Wadhamini wa Kitabu cha “Continuity…