HANANG CHUKUENI TAHADHARI DHIDI YA MAGONJWA YA MLIPUKO-DKT. SAMIA.
Na. WAF – Hanang, Manyara Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wananchi Mji mdogo wa…
Na. WAF – Hanang, Manyara Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wananchi Mji mdogo wa…
Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania UWT, Mary Chatanda ameongoza na Kundi la wanawake wa Jumuiya hiyo kwenda kukabidhi zawadi kwa Mama aliyejifungua mara…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ndani ya Helikopta na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Sendiga…
Kaimu Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Temeke Bw. Eugenius Hazinamwisho akiwa katika picha ya pamoja na baadhi…
Na Sophia Kingimali,Dar es salaam. KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa mlMamlaka ya Usafiri wa Anga nchini(TCAA),Teophory Mbilinyi,amesema kufuatia juhudi za serikali katika sekta ya anga…
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.) akizungumza na Mabalozi na Wawakilishi wa Mashirika wa Kimataifa Jijini…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Ndugu Elibariki Naman mkazi wa Jorodom, Katesh ambaye ni muathirika wa Mafuriko…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akiwa katika picha ya pamoja na viongozi…
Ashrack Miraji, Same kilimanjaro Wakazi wa kata ya Hedaru na Makanya wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro wametakiwa kuendelee kuchukua tahadhari ikiwemo kuondoka kwa muda…
Mwenyekiti wa The Desk & Chair Foundation, Alhaji Dk. Sibtain Meghjee, leo akitoa taarifa kabla ya kukabidhi msaada wa madawati 170 na miche ya…
Mtendaji Mkuu wa OSHA, Khadija Mwenda akielelzea mafanikio ya OSHA wakati akizungumza na wahariri na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam ikiwa…
Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) kimeshiriki kwenye zoezi la kutoa msaada kwa wahanga waliokumbwa na changamoto ya mafuriko na maporomoko ya…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Umoja wa Ulaya Nchini…
Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi za elimu Tuamini, Modest Bayo akizungumza katika mahafali hayo mkoani Arusha. Afisa Mtendaji mkuu wa benki ya uchumi kanda ya…
Mratibu wa Kitaifa wa Mradi wa Urejeshwaji Endelevu wa Mazingira na Hifadhi ya Bioanuai (SLR) kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Damas Mapunda…
Na Selemani Msuya MTANDAO wa Asasi za Kiraia za Sekta ya Maji na Usafi wa Mazingira (TAWASANET) umetoa wito kwa serikali na wadau wengine…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tarehe 7 Desemba, 2023…
Zoezi la kurejesha mji wa Katesh katika hali yake ya awali ili kuwezesha shughuli za uzalishaji kuendelea, imefikia katika hatua nzuri ambapo asubuhi ya…
MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM KATIBU Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhandisi Cyprian Luhemeja, ameelekeza Menejimenti ya Mfuko…
Mwenyekiti wa chipukizi wa CCM wilaya ya Ilemela Ndugu Iqra Amani Said Kweka ameitaka jamii kuripoti na kuzuia vitendo vya kikatili vinavyofanywa dhidi ya…
Naibu Waziri wa Nishati Mhe.Judith Kapinga akizungumza na Wakazi wa Kata ya Makuyuni Kijiji cha Sharaka Wilaya ya Korogwe Vijijini alipofanya ziara ya kukagua…
Balozi wa Tanzania nchini Burundi, Mhe. Gelasius Byakanwa akiangalia bidhaa za wajasiriamali wa Tanzania alipowatembelea katika Maonesho ya 23 ya Wajasiriamali Wadogo na wa…
Na John Walter-Manyara Mamlaka ya Hifadhi ya Taifa (TANAPA) imetoa kikosi cha askari wake 19 na kiongozi mmoja kuungana na vikosi vingine vya majeshi…
Na Elinipa Lupembe – Arusha Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), Mkoa wa Arusha, wamemkabidhi Tuzo ya Uongozi Uliotukuka, Mkuu wa Mkoa wa…
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro na Katibu Mkuu Kiongozi Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhandisi Zena Said wakizindua taarifa ya utendaji…
Na Issa Sabuni Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga ametoa wito kwa wananchi kulinda miundombinu ya umeme vijijini ili iendelee kuwa na thamani…
Mkuu wa Idara ya Uanachama na Masoko kutoka Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) Bi. Patricia Chao akimkabidhi Afisa Rasilimali Watu Mkuu wa Bohari ya…
Mkurugenzi Mkuu wa EWURA Dkt James Andilile akisisitiza jambo wakati wa kikao na watumishi wa EWURA Kanda ya Ziwa ( hawapo pichani) kilichojadili utendaji…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Shear Illusions Bi. Shekha Nazser alipotembelea banda la maonesho la Kampuni hiyo kabla…
Matukio katika picha Wajasiriamali wakiendelea na shughuli mbalimbali katika Maonesho ya 23 ya Wajasiriamali Wadogo na wa Kati wa Jumuiya ya Afrika Mashariki maarufu…
Mkurugenzi Mkuu wa EWURA Dkt James Andilile ( kulia) akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Mhe. Dkt. Batilda Burian, alipomtembelea ofisini kwake leo…
Na Issa Sabuni na Beatrice Lyimo Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga ametoa wito kwa wananchi kulinda miundombinu ya umeme vijijini ili…
Mgeni rasmi Prof. Anna Tibaijuka akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia yaliyoandaliwa na TGNP Mgeni rasmi Prof. Anna…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwasili katika Hoteli ya Golden Tulip (Airport), sambamba na Waziri…
Na Sophia Kingimali, Dar es salaam Waziri Mkuu Kasim Majaliwa amesema nchi itaendelea kuondoa vikwazo vinavyowakabili wanawake kwenye biashara na kuhakikisha kuna ushiriki sawa…