ZANZIBAR YAIMARISHA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA VIJANA KWA USHIRIKIANO NA SOS CHILDREN’S VILLAGES
Na Fauzia Mussa Katibu Mkuu wa Wizara ya Vijana, Ajira na Uwezeshaji, Salama Mbarouk Khatib, amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kushirikiana na…