Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii ,Jinsia,Wazee na Watoto Abeda Rashid Abdalla akitoa Maelezo ya Mradi wa Kukuza Usawa wa Kijinsia Tanzania(PAMOJA)katika Uzinduzi wa Mradi huo uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Polisi Ziwani Zanzibar.
MRADI WA KUKUZA USAWA WA KIJINSIA WAZINDULIWA ZANZIBAR
By fullshangwe
March 4, 2026 | 10:19 am

Related Stories
View all
Mchanganyiko
6 minutes ago
PROF. SHEMDOE: KILA MWANAFUNZI AFIKAPO DARASA LA TATU AWE MAHIRI WA KUSOMA, KUANDIKA NA KUHESABU
Na: OWM–TAMISEMI, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amewataka Walimu…
Mchanganyiko
47 minutes ago
MKAZI WA ARUSHA AMFUNGUKIA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI KUHUSU ARDHI YAKE
Na Mwandishi Wetu, Arusha MKAZI wa Unga Ltd jijini Arusha, Euralia Matai, ameiomba Serikali kuingilia kati kutatua changamoto ya mgogoro wa ardhi inayomkabili, akieleza…
Baadhi ya Wageni Waalikwa waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Kukuza Usawa wa Kijinsia Tanzania(PAMOJA) hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Polisi Ziwani Zanzibar.


