Wednesday, June 3, 2026

Top Stories

View all
MWALIMU TUNDURU AJIFUNGUA MAPACHA WANNE

MWALIMU TUNDURU AJIFUNGUA MAPACHA WANNE

 Mkuu wa wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro wa pili kulia akiwa amemshika mototo mmoja kati ya watoto mapacha wanne wa Mwalimu  wa shule ya msingi Wenje kata ya Nalasi wilayani humo Judith Chawe,wa kwanza kulia Kaimu mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya Tunduru Ombeni Hingi. Mkuu wa wilaya ya Tunduru na Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya hiyo Julius Mtatiro wa tatu kushoto na baadhi ya wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya hiyo wakiwa wameshika watoto mapacha wa Mwalimu wa shule  ya msingi Wenye wilayani humo Judith Chawe wa kwanza kulia na mumewe Hamis Hamza Shaibu. ……………………………….. Na Muhidin Amri, Tunduru MWALIMU wa shule ya msingi Wenje kata ya Nalasi wilaya ya Tunduru mkoani…

UCHAGUZI WA CCM NINAOUKUMBUKA

UCHAGUZI WA CCM NINAOUKUMBUKA

Adeladius Makwega-BUJORA MWANZA Katkati ya 2008 nikiwa nakaribia kuhitimu Shahada ya Sanaa ya Habari ya Chuo Kikuu cha Tumaini Iringa kwa kuwa nilikuwa miongoni…

CHUO KIKUU CHA MZUMBE KUFUNGUA TAWI TANGA

CHUO KIKUU CHA MZUMBE KUFUNGUA TAWI TANGA

MKUU wa Mkoa wa Tanga Adam Malima akizungumza mara baada ya mazungumzo hayo MKUU wa Mkoa wa Tanga Adam Malima  akiongoza kikao cha majadiliano…