WAZIRI MULAMULA APOKEA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI TISA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akipokea nakala za Hati za Utambulisho za Balozi Mteule wa Jamhuri…
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akipokea nakala za Hati za Utambulisho za Balozi Mteule wa Jamhuri…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla akizungumza katika kikao kazi na Viongozi wa Masoko, Machinga na Maafisa Masoko wa Jiji…
………………… Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Zanzibar (THRDC-Zanzibar) unaendesha mafunzo kwa maafisa wa jeshi la polisi, maofisa kutoka ofisi ya mwendesha mashtaka…
************************** Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kuimarisha ulinzi na usalama kwa kufanya operesheni, misako na doria mbalimbali hali inayopelekea amani na utulivu…
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Zainab Chaula, akikata utepe kuashiria kupokea gari aina ya Land Cruser…
Afisa Mkuu wa Rasilimali Watu Benki ya NMB, Emmanuel Akonaay (kushoto), akikambidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 20 Waziri wa Maliasili na Utalii,…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipohudhuria ibada ya kumuaga aliyekuwa Mwenyekiti wa Tanzania Labour Party (TLP) marehemu Augustine Lyatonga Mrema, iliyofanyika katika Kanisa la Roman…
Mara baada ya kurejea jijini Dar es Salaam, kikosi cha KMC FC kimendelea na maandalizi ya kujiweka sawa katika michezo ya Ligi kuu ya…
Kamanda wa Polisi mkoa wa Katavi Ali Makame akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mapema ………………………. Na Zillipa Joseph,. Katavi Jeshi la Polisi…
Na Joctan Agustino,NJOMBE Wachimbaji wadogo wa madini wilayani Ludewa mkoani Njombe wameiomba serikali kuwapatia vitalu katika migodi ya Makaa ya mawe na chuma iliyopo…
Na Joseph Lyimo WAZEE wa Tanzania kila mwaka huungana na wazee wenzao duniani ifikapo Oktoba mosi kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya wazee duniani…
Mratibu wa Huduma za Kutokomeza Trakoma (Vikope) kutoka Mpango wa Taifa wa kudhibiti Magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele (NTD) Bw. Ambakisye Mhiche aeleze hali ya…
Katibu Mtendaji Mkuu Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Prof.Charles Kihampa akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 24,2022 Jijini Dar es Salaam. ***************…
*Kila hatua ya maisha yake inaacha somo kwa Wanasiasa, Watanzani EWE Mwenyezi Mungu muumba wa mbingu na ardhi, nakuomba unipe utulivu, hekima na busara,…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiweka Saini katika kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti…
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma leo tarehe 23 Agosti, 2022 ameshiriki katika zoezi maalum la Sensa ya Watu na Makazi…
Karani akiendelea na zoezi la sensa katika Kijiji cha Wachawaseme wilayani Mlele ************************ Na Zillipa Joseph, Katavi Karani wa Sensa Kata ya Majimoto Halmashauri…
NA MWANDISHI MAALUM MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa Mjini (Kichama), Talib Ali Talib, ameitaka jamii kujenga tabia ya kutembelea wagonjwa wakati wa…
MKUU wa Dodoma Rosemary Senyamule akizungumza na Karani wa Sensa Bi.Theresia Sagamilwa wakati alipokuwa akihesabiwa nyumbani kwake Uzunguni jijini Dodoma leo tarehe 23 Agosti…
………………… Mwamvua Mwinyi,Chalinze MBUNGE wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete amesema ,amepokea zoezi la sensa kwa mikono miwili na kusema maswali ni ya kawaida…
************************** Mwamvua Mwinyi,Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani, alhaj Abubakar Kunenge amesema ,Zoezi la sensa linakwenda vizuri huku akitoa Rai kwa wananchi ambao bado…
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu naye amehesabiwa kwa kujibu maswali ya karani wa Sensa, Emanuel Mtera alipofika nyumbani kwake eneo la Sahare Tanga.
…………………….. Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana, leo Agosti, 2022 ameshiriki Sensa ya Watu na Makazi kwa kuhesabiwa. Waziri Mhe.…
Mbunge wa Jimbo la Kibaha mjini Silvestry Koka akiwa pamoja na mke wake Selina Koka nyumbani kwao mtaa wa Vigaeni Wilayani Kibaha na Kalani…
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akihojiwa na Karani wa Sensa, Anthony Mlegi (kulia), wakati akihesabiwa katika makazi yake kwenye…
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi akizungumza na Waandishi wa habari leo Agosti 23,2022 wakati akitoa taarifa ya…
************************* Na Mwandishi wetu, Mirerani Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Dkt Suleiman Hassan Serera, amehitimisha Sensa Cup Bonanza kwa kuipatia timu ya…
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba, akihesabiwa na Karani wa Sensa, Jasmini Kinga katika zoezi la Sensa ya Watu na Makazi nyumbani kwake…
Mkuu wa wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Wakili Julius Mtatiro kulia,akiwapokea makarani na wasimamizi wa mahudhui wakati walipofika kwa ajili ya zoezi la sensa…
Na John Walter-Manyara Mkuu wa mkoa wa Manyara Charles Makongoro Nyerere leo tarehe 23 Agosti 2022 ameshiriki zoezi la Sensa ya Watu na Makazi,akihesabiwa …
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene akiwa anatoa taarifa muhimu kwa Makarani wa Sensa ya Watu…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Kamisaa wa Sensa ya Watu…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza na Karani wa Sensa Bw. Jumanne Marko wakati…
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (kulia) na mkewe Bi. Neema Mwigulu Lameck Nchemba, wakihesabiwa na Karani wa Sensa…