Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

WAJUMBE WA KAMATI YA PIC WATEMBELEA KITUO KIKUU CHA MABASI MSAMVU

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC), wakitembelea Kituo Kikuu cha Mabasi Msamvu mkoani Morogoro Machi 27, 2024. Kituo hicho ni mradi unaoendeshwa kwa ubia Kati ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) unaomiliki asilimia 74% na Halmashauri ya Manispaaya Morogoro asilimia 26% Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge

John Bukuku By John Bukuku

SERIKALI ZA TANZANIA NA HUNGARY ZAINGIA MKATABA WA USHIRIKIANO SEKTA YA MAJI

NA SOPHIA KINGIMALI. Serikali ya Tanzania na Hungary wamesaini mkataba wa ushirikiano katika sekta ya maji kwa sababu nchi hiyo inaongoza duniani kwa kudhibiti mafuriko maji safi na maji taka hivyo kupata ujuzi wa teknolojia Huku Pia nchi hiyo inatarajia kufanya uwekezaji wa Kiwanda cha kutengeneza ndege ndogo Mkoani Morogoro. Akizungumza leo Machi 28 jijini Dar es Salaam baada ya

John Bukuku By John Bukuku

UWT IMEDHAMIRIA KUTEKELEZA ADHMA YA RAIS SAMIA YA KUMTUA MWANAMKE KUNI KICHWANI

Na Sophia Kingimali. Umoja wa wanawake nchini(UWT) umedhamiria kwa vitendo kutekeleza dhamira ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ya kumtua kuni mwanamke kichwani kwa kuhakikisha inazalisha nishati mbadala kwa ajili ya kupikia. Hayo yamesemwa leo March 28,2024 Jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa UWT Joketi Mwegelo wakati akipokea ugeni wa wawekezaji kutoka china katika jimbo la Changzho walioletwa

John Bukuku By John Bukuku

TANZANIA YAKARIBISHA WAWEKEZAJI SEKTA YA NISHATI.

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga amesihi wawekezaji kutoka Mataifa mbalimbali (USA) kuwekeza katika sekta ya nishati nchini ikiwemo eneo la nishati safi ya kupikia, nishati jadidifu pamoja na gesi ili kuendelea kuchochea maendeleo katika nyanja tofauti tofauti. Kauli hiyo imetolewa Machi 27, 2024 katika Ofisi Ndogo ya Wizara iliyopo jijini Dar es

John Bukuku By John Bukuku

RAIS SAMIA KUWAONGOZA WATANZANIA KWENYE IBADA MAALUM YA KUMBUKIZI YA MIAKA 40 YA HAYATI EDWARD SOKOINE

 MSEMAJI  wa familia ya Hayati Sokoine Bw. Lembris Kipuyo,akizungumza  na waandishi wa habari leo Machi 28,2024 jijini Dodoma kuhusu kumbukizi ya miaka 40 ya Hayati Edward Moringe Sokoine, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, itakayofanyika Aprili 12, 2024, katika Kijiji cha Enguik, Monduli Juu mkoani Arusha. Na.Alex Sonna-DODOMA RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu

Alex Sonna By Alex Sonna

WAGANGA WAFAWIDHI NCHINI NA WATUMISHI NDANI YA SEKTA YA AFYA WATAKIWA KUTOKUWA KIKWAZO KWA WAWEKEZAJI

 NAIBU  Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel,akizungumza wakati akifunga Mkutano wa Kwanza wa Kimataifa wa Afya ya Msingi uliofanyika  kwa  siku Tatu ulioshirikisha  washiriki kutoka ndani na nje ya nchi Jijini Dodoma.  NAIBU  Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel,akisisitiza jambo  wakati akifunga Mkutano wa Kwanza wa Kimataifa wa Afya ya Msingi uliofanyika  kwa  siku Tatu ulioshirikisha  washiriki kutoka ndani na

Alex Sonna By Alex Sonna

MKUU WA WILAYA YA ILALA AIPONGEZA AKIBA COMMERCIAL BANK

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo ameipongeza ACB kwa kuandaa hafla ya kufuturisha wateja, Wafanyakazi na wadau mbalimbali wa Benki hiyo iliyofanyika Jijini Dar es Salaam katika hoteli ya Serena tarehe 25 Machi, 2024, akiongea katika hafla hiyo ambayo Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Ilala ndiye aliyekuwa Mgeni rasmi, Mhe. Mpogolo amesema kwamba “kitendo cha kufuturisha kilichofanywa na

John Bukuku By John Bukuku

MWENYEKITI WA BODI AKIBA COMMERCIAL ATOA NENO LA SHUKRANI KWA WATEJA, WAFANYAKAZI

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Akiba Commercial Bank Plc Bi. Catherine Kimaryo amewashukuru Wateja, Wafanyakazi na Wadau wote wa ACB kwa kuitikia kwa wingi mwaliko wa hafla ya futari uliofanyika Jumatatu tarehe 25 Machi, 2024 katika hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam ambapo Mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mheshimiwa Edward Mpogolo . Pia hafla hiyo

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

AFISA MTENDAJI WA KIJIJI HATIANI KWA UBADHIRIFU

Mahakama ya Wilaya ya Mbulu imemhukumu MELKIADI ZAKARIA TLEHEMA aliyekuwa Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Hayloto kata ya Nambris, Wilaya ya Mbulu Mkoa wa Manyara. Mshtakiwa ametiwa hatiani kwa makosa

John Bukuku By John Bukuku

MAKAMU WA RAIS AHITIMISHA JUKWAA LA UWEKEZAJI LA CHINA NA TANZANIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifuatilia mawasilisho mbalimbali wakati wa Jukwaa la Uwekezaji kati ya China na Tanzania lililofanyika katika Ukumbi wa

John Bukuku By John Bukuku