Ad imageAd image

Latest news

MHE MUSTAFA H. MKULO AZIKWA KIJIJINI KWAKE KIMAMBA, KILOSA

Aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika Serikali ya awamu ya 4 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa zamani wa Jimbo la Kilosa mkoani Morogoro, Mustafa Haidi Mkulo mapema Leo mazishi yake yamefanyika nyumbani wilayani Kilosa. Mazishi hayo yamehudhuriwa na viongozi mbali mbali akiwemo Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe Stagomena Tax, Waziri nchi ofisi ya

John Bukuku By John Bukuku

NJOMBE MJI YAFIKIA ASILIMIA 91 CHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI

NJOMBE, Halmashauri ya mji wa Njombe mefanikiwa kutoa chanjo ya Saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana wenye umri kati ya 9 - 14 kwa 91% na kuvuka lengo la angalau 80% kitaifa huku wakitarajia kufikia 100% ifikapo Mwezi Disember 2024 mwaka huu ili kujikinga na maambukizi ya ugonjwa huo. Simon Ngassa ni mtaalamu wa afya ambaye ni mratibu wa

John Bukuku By John Bukuku

DCEA KANDA YA KASKAZINI YASHIRIKI MATEMBEZI YA KUADHIMISHA SIKU YA AFYA YA AKILI DUNIANI

Na Prisca Libaga Arusha Ofisi ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za kulevya (DCEA)  Kanda ya Kaskazini,  Mei 4, 2024 imeshiriki Matembezi ya Maadhimisho ya Siku ya Afya ya Akili Duniani. Maadhimisho hayo yameratibiwa na Asasi ya Kiraia ya Self Awareness for Everyone (SAFE) inayoendesha shughuli zake katika Jiji la Arusha.  Mgeni rasmi katika Maadhimisho hao alikuwa Mganga

John Bukuku By John Bukuku

WANAFUNZI WA KIMATAIFA CHUO KIKUU MZUMBE KITAAALUMA WAWASILISHA MATOKEO YA TAFITI ZA AWALI KUHUSU MAJI, ELIMU NA USALAMA WA CHAKULA

Mratibu Wa Mradi Wa Mu Iob Icp Connect Nchini Tanzania Ambaye Pia Ni Mhadhiri Wa Chuo Kikuu Mzumbe Dkt. Christina Shitima Akiwakaribisha Wadau Mbalimbali Waliohudhuria Wasilisho La Matokeo Ya Awali Ya Utafiti Wa Hatua Ya Mradi Wa Fuatiliamaji Unaohusu Vyanzo Vya Maji Vya Umma, Elimu, Maisha Na Ustahimilivu Mkuu Wa Idara Ya Uchumi Katika Kitivo Cha Sayansi Za Jamii Ambaye

John Bukuku By John Bukuku

WAZAZI MKOA WA MAGHARIBI WAFANYA KONGAMANO KUELEKEA WIKI YA WAZAZI

Mkuu wa Oganaizesheni Afisi Kuu ya CCM Zanzibar Omar Ibrahim Kilupi akifunguwa kongamano la jumuiya ya wazazi wa Mkoa wa Magharibi Kichama,  lililofanyika skuli ya Ali Hassan Mwinyi Bububu Wilaya ya Magharibi A. Mlezi wa Mkoa wa magharibi kichama ambae pia Mwakilishi wa viti maalum kupitia jumuiya ya wazazi mkoa wa kusini Unguja Mhe. Sabiha Filfil Thani akizungumza katika kongamano la

John Bukuku By John Bukuku

MAWASILIANO YA BARABARA YA DAR – LINDI KUREJEA NDANI YA SAA 72, MAENEO MATANO YAKATIKA: WAZIRI BASHUNGWA

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi itatumia saa 72 (siku 3) kukamilisha zoezi la kurejesha miundombinu ya barabara ya Lindi – Dar es Salaam, ambayo imeharibiwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha zilizombatana na kimbunga Hidaya. Amesema hayo Mkoani Lindi Mei 05, 2024, mara baada ya kuwasili na kukagua uharibifu

Alex Sonna By Alex Sonna

WHO IS HUSSAIN YATOA MISAADA YA MILIONI 28 KAMBI YA WAATHIRIKA WA MAFURIKO CHUMBI,RUFIJI

Na Mwamvua Mwinyi, Rufiji Mei 5,2024. MKUU wa wilaya ya Rufiji, Meja Edward Gowelle ametoa agizo kwa watu ambao bado wanaoishi kwenye maeneo yaliyozingirwa na maji ,mabondeni waondoke na kuhamia kwenye maeneo yaliyotengwa na Serikali kwa ajili ya usalama wao. Akipokea misaada mbalimbali yenye thamani ya milioni 28 kutoka Taasisi ya WHO IS HUSSAIN, kwa ajili ya waathirika wa mafuriko

John Bukuku By John Bukuku

TUTAZIDI KUIMARISHA HUDUMA ZA UKUNGA KUKABILINA NA VIFO VITOKANAVYO NA UZAZI

Na WAF - Dar Es Salaam Serikali kupitia Wizara ya afya imedhamiria kuendelea kuboresha huduma za Ukunga sambamba na kuongeza idadi yao ili kupunguza vifo vya watoto wa mchanga. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema hayo leo Mei 5, 2024 kwenye siku ya Mkunga duniani ambapo mgeni rasmi katika Maadhimisho hayo alikuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

EXIM BANK YAENDELEZA MALIPO YA KIDIJITALI KWA KUSHIRIKIANA NA CHEF’S PRIDE DODOMA

Mkuu wa Idara ya Huduma za Kadi na  Malipo wa Exim Bank, Paritosh Babla (kulia), na Mkurugenzi Mtendaji wa Mgahawa wa Chef's Pride, Salim Mahsen Al Amry, wakisaini makubaliano ya

John Bukuku By John Bukuku

BENKI YA NMB YAZINDUA AKAUNTI YA KIKUNDI

Benki ya NMB imezindua akaunti ya kikundi, inayokuja na maboresho makubwa kwa wanakikundi wote kufurahia huduma kidijitali. Kupitia akaunti hii, wanakikundi wataweza kutumia NMB Mkononi : ➡️ Kufungua akaunti kiurahisi

John Bukuku By John Bukuku