Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam kufungua  Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani, Mei  5, 2024. Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chlamila na wa tatu  kulia ni Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo mafupi kutoka kwa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar Es Salaam kufunguai Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani, Mei 5, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipofungua  Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Mei  5, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.