Top Stories
View all
PWANI WAANZA KAMATA KAMATA KWA WAHAMIAJI HARAMU- RC KUNENGE
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani MKOA wa Pwani umeanza operesheni ya kukamata wahamiaji haramu kwenye mkoa huo,ili kupunguza ama kuondoa wimbi la wahamiaji hao wanaoingia…
WANAWAKE TPA WALIPIA BIMA YA AFYA WATOTO 400
Na Selemani Msuya WAFANYAKAZI wanawake wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), wamewalipia bima ya afya watoto 400 kutoka wilaya za Temeke, Ilala na Kigamboni…
TASAC YAWATAKA WAFANYABIASHARA MPAKANI KUACHA KUTUMIA NJIA ZA PEMBENI KUPITISHA MIFUGO
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Wakala wa Shirika la Meli Tanzania (TASAC) Captain Mussa Mandia kulia akisisitiza jambo wakati wa ziara yake mpakani…
ARSENAL YAICHAPA 1-0 LEICESTER CITY UWANJA WA EMIRATES
Timu ya Arsenal imeendeleza kasi ya kusaka nafasi ya kuingia nne bora baada ya kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Leicester City mchezo…
UJENZI WA CHUO CHA VETA IKUNGI KUKAMILIKA APRIL 4,2022
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omari Kipanga akitoa maelekezo kwa mmoja wa waandisi wanaosimamia mradi wa ujenzi wa Chuo cha VETA…
BAJAJI MBEYA WAMPONGEZA RAIS SAMIA
******************* Vijana waendesha bajaji Halmashauri ya Mbeya kata ya Mbalizi wametoa pongezi zao kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu…
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YAKAGUA UJENZI WA KIWANDA CHA MATARUMA CHA SGR, MKOANI SHINYANGA
Mkurugenzi wa Miundombinu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Mhandisi Faustine Kataraiya, akifafanua jambo kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu…
KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) YAIPONGEZA TANESCO KWA KUTEKELEZA VIZURI MRADI WA BTIP
Mwenyekiti wa Kudumu wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Naghenjwa Kaboyoka akizungumza na wajumbe wa kamati hiyo katika kikao cha kupokea…
MAKALA: WAMAASAI MAKINI KWA KILA JAMBO
Adeladius Makwega-DODOMA Kabila la Wamaasai ni miongoni mwa makabila yanayopatikana katika mataifa ya Tanzania na Kenya. Tanzania wanapatikana katika maeneo ya Longido, Loliondo, Ngorongoro,…
KAMATI YA PAC YATEMBELEA MRADI WA UMEME SINGIDA
Mjumbe wa Kamati Kamati ya Bunge ya Hesebu za Serikali (PAC), Mheshimiwa Isack Kamwelwe akohoji jambo wakati Kamati hiyo ilipotembelea na kukagua mradi wa…
KAMATI YA PAC YATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA MAJI IKUNGI -SINGIDA
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singinda, Mhe. Jerry Muro akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesebu za Serikali (PAC) wakati Kamati…
TANZANIA YAZIDI KUJITANGAZA NA KUONESHA FURSA ZA UWEKEZAJI NCHINI QATAR
Bodi ya Kahawa yaendelea kuvutia wanunuzi wa Kahawa nchini Tanzania kupitia maonesho ya Kimataifa ya Kilimo na Mazingira nchini Qatar.Miongoni mwa wageni waliotembea banda…
UONGOZI WA MKOA WA SIMIYU WATAKIWA KUSIMAMIA UJENZI WA CHUO CHA VETA
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Omari Kipanga (Mb) akikagua eneo la ujenzi wa Chuo cha VETA Mkoa wa Simiyu. Naibu Waziri…
MAKAMU WA RAIS AWASILI ARUSHA TAYARI KWA UZINDUZI WA KONGAMANO LA KISWAHILI DUNIANI
Makamu wa Rais wa Jumhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na…
RUWASA SUMBAWANGA YAKAMILISHA MIRADI 14 YA MAJI
Mtambo wa umeme wa jua uliokamilika kujengwa na RUWASA Wilaya ya Sumbawanga katika chanzo cha maji kwenye mradi wa kijiji cha Mponda kata ya…
SIMBA YAICHAPA 1-0 RSB BERKANE KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA
Na Alex Sonna WAWAKILISHI Pekee ukanda wa Afrika Mashariki na Kati Simba SC wameendelea kuwa tishio katika uwanja wa Benjamin Mkapa baada ya kuichapa…
MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA NYUMBA ZA MAKAZI YA WANANCHI WALIORIDHIA KUHAMA KATIKA HIFADHI YA NGORONGORO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa nyumba za makazi ya mwananchi wanaoishi katika Hifadhi ya Ngorongoro walioridhia kuhamia katika katika nyumba zinzojengwa na…
‘NENDENI MKAWASAIDIE VIONGOZI KATIKA SEKTA YA AFYA’-DK.MOLLEL
Na.WAF,Dar es Salaam Viongozi wa Wizara ya Afya wametakiwa kuwasaidia viongozi wa wizara pamoja na kusimamia sekta ya afya ili isonge mbele. Hayo yamesemwa…
MCHENGERWA AAGIZA KUONGEZWA VIWANJA MRADI WA KITUO CHA MICHEZO TANGA
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe, Mohamed Mchengerwa ameliagiza Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania TTF kuongeza viwanja viwili kimoja cha nyasi bandia…
WAZIRI BASHUNGWA AWASHUSHA VYEO WAKUU 23 WA VITENGO VYA MANUNUZI NA UGAVI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa
‘TUTAWAPA USHIRIKIANO WADAU BINAFSI WA UCHAPAJI,UUZAJI NA USAMBAZAJI VITABU NCHINI’-PROF.MKENDA
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda, akielezea lengo la Mkutano wa Wadau Binafsi wa Uchapaji,Uuzaji na Usambazaji wa Vitabu nchini kikao kilichofanyika…
WAZIRI NDALICHAKO ATAJA MAFANIKIO YA WIZARA YAKE KATIKA KIPINDI CHA MWAKA MMOJA WA RAIS SAMIA
WAZIRI wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu Prof.Joyce Ndalichako,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo March 13,2022 jijini Dodoma wakati akielezea…
WAKULIMA WA KOROSHO WILAYANI TUNDURU WAISHUKURU SERIKALI KUWAPATIA MBEGU BURE
***************** Na Muhidin Amri, Tunduru WAKULIMA wa korosho wilayani Tunduru,wameishukuru Serikali ya awamu ya sita kutoa viuatilifu na mbegu za korosho kwa wakulima bure…
MAFUNZO YA MICHEZO JUMUISHI NKOANI GEITA
Mkurugenzi wa Special Olympics Tanzania, Charles Rays akitoa mafunzo kwa walimu wa shule mbalimbali mkoani Geita, mafunzo yaliyofanyika kwa siku mbili hivi karibuni (Picha…
MANDATE FOR GLOBAL PLASTICS TREATY A HISTORIC STEP IN COMBATING PLASTIC POLLUTION
********************** Dar es Salaam – Tanzania: In combating plastic pollution, a Global Plastics Treaty calls for countries, including Tanzania, to recognize the value of the…
WANUFAIKA MIKOPO ELIMU YA JUU WAJITOKEZA KULIPA MADENI YA0 MKOANI TANGA
Afisa Mikopo Mwandamizi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Sophia Saidan akitoa huduma kwa wateja mbalimbali waliotembelea Banda la…
WANAWAKE KKKT BOKO WASHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA KUFANYA MATEMBEZI YA SHUKRANI 2022.
Mwenyekiti wa Wanaumoja wa Wanawake wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Sylvia Lupembe, akizungumza wakati wa matembezi ya shukrani 2022 yaliyowashirikisha…
WATANZANIA TIMIZENI AHADI
……………………… Adeladius Makwega-DODOMA Watanzania wametakiwa kutimiza ahadi mbalimbali wanazitoa katika maisha yao, ni heri kutoitamka hadharani kuliko kuitoa alafu kushindwa kuitekeleza. Kauli hiyo imetolewa…
MKUU WA MKOA WA MANYARA AZINDUA KAMPENI YA KUKABILIANA NA MABADILKO YA TABIA NCHI BABATI.
……………………………… Na John Walter -Manyara Katika kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, Mkuu wa mkoa wa Manyara Makongoro Nyerere ametoa agizo kwa Viongozi wa…
WANANCHI 23,745 KATI YAO 18,645 WAKIWA WANANFUNZI WAPATIWA ELIMU YA VIWANGO VYA UBORA WILAYANI KASULU, MLELE NA NKASI
Afisa Masoko (TBS) Bw. Mussa Luhombero akitoa elimu kuhusu majukumu ya TBS, umuhimu wa kusoma maelezo yapatikanayo kwenye kifungashio, umuhimu wa kuangalia mwisho wa…
MKOA WA SINGIDA WATOA MAPENDEKEZO YA BAJETI YA MATUMIZI YA KAWAIDA KWA MWAKA 2022/2023
Mkuu wa Mkoa Singida Dk.Binilith Mahenge akizungumza kwenye kikao cha Kamati ya Ushauri Mkoa (RCC) kilichoketi mjini hapa leo.. Katibu Tawala Mkoa wa Singida…
WAZIRI MULAMULA AKUTANA NA WATANZANIA WANAOISHI SAUDI ARABIA
Balozi Mulamula mwenye (ushungi wa bluu) akiwa na Waziri wa Maliasili na Utaalii Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (kushoto) Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.…
WAZIRI MCHENGERWA AMTUNUKU ZAWADI YA MFANO WA MELI MAHER ZAIN
********************* Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Mohamed Mchengerwa amemkabidhi zawadi ya mfano wa meli mwanamuziki maarufu Duniani mwenye asili ya Lebanoni Maher…