Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

CCM YAITAKA SERIKALI KUWEKA MFUMO RAHISI MIKOPO KWA VIKUNDI

Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Ilemela kimeitaka Serikali ya wilaya hiyo kupitia wataalam wake wa maendeleo ya jamii kuweka utaratibu mwepesi na mifumo rahisi itakayowafanya wanawake wa wilaya hiyo kupitia vikundi vyao kuweza kuomba mikopo kwa njia ya kielektroniki kwa wepesi na bila urasimu. Hayo yamesemwa na katibu wa ccm wilaya ya Ilemela Ndugu Hasan Milanga wakati wa mkutano wa

John Bukuku By John Bukuku

PARIMATCH YAZINDUA PROMOSHENI YA TWENZETU DUBAI, ZAYLISSA, KIREDIO WAULA

Mkuu wa Masoko wa kamouni ya kubashiri ya Parimatch, Levis Paul alizungumza wakati wa uzinduzi wa promosheni ya Twenzetu Dubai ambayo jumla ya mashabiki nane (8) wa michezo watakaoshinda watatembelea nchi hiyo na kukaa kwa muda wa siku nne. Mkurugenzi Mwendeshaji wa kampuni ya michezo ya kubashiri ya Parimatch, Eric Gelard (kushoto) akisaini mkataba na muingizaji nyota nchini, Zainab Saidi

John Bukuku By John Bukuku

WANAFUNZI WAOMBA JENGO LA UTAWALA SEKONDARI YA MOUNT KIPENGERE

Walimu ,wanafunzi na wazazi wa shule ya sekondari Mount Kipengere Iliyopo halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe  Njombe Wameiomba serikali kukamilisha ujenzi wa jengo la Utawala pamoja na kutafuta muarobaini wa changamoto ya ukosefu wa huduma za afya katika eneo hilo la shule linakusanya mamia ya wafunzi. Baadhi ya wakazi wa kata ya Kipengere wakiongozwa na diwani wa kata hiyo Mussa

John Bukuku By John Bukuku

MADAKTARI BINGWA KUTOKA MIKOA YA MBEYA,SONGWE NA RUVUMA WAPIGA KAMBI KWA AJILI YA KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA KWA WANANCHI WA MKOA WA RUVUMA

Baadhi ya wakazi wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma,wakisubiri huduma ya uchunguzi na matibabu  kutoka kwa Madaktari Bingwa wa mikoa ya Songwe,Mbeya na Ruvuma waliopo kwenye kambi maalum  kwa ajili ya kutoa huduma za Kibingwa katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa Songea(Homso). Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas,akisalimiana na  Madaktari Bingwa wa mikoa ya Ruvuma,Songwe na Mbeya  baada ya kufungua  zoezi la uchunguzi na matibabu ya Kibingwa kwa wananchi wa mkoa Ruvuma yanayoendelea katika Hospitali ya Mkoa mjini Songea. Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas,akizungumza  na wananchi,watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa Songea(Homso) na Madaktari Bingwa kutoka mikoa ya Songwe,Mbeya na Ruvuma kabla ya kuanza kwa utoaji wa huduma za Kibingwa zinazoendelea kutolewa katika Hospitali hiyo. ............. Na Mwandishi wetu, Songea TIMU ya madaktari Bingwa kutoka mikoa ya Ruvuma,Songwe na Mbeya wameanza kutoa huduma za  uchunguzi na matibabu ya magonjwa mbalimbali kwa wananchi wa mkoa wa Ruvuma. Mganga mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa Songea(Homso)Dkt

John Bukuku By John Bukuku

TAKUKURU MWANZA YAMULIKA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA BILIONI 6.1

....................... NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Mkoa wa Mwanza taasisi hiyo inachunguza miradi saba ya maendeleo inayogharimu sh.bilioni 6.1 kati ya 15 yenye thamani ya sh.bilioni 19.11. Pia, ilichambua  mfumo wa mapato ya kodi ya zuio na kuleta matokeo chanya na kuiwezesha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), mkoani humu  kukusanya sh. milioni 68.1 za kodi

John Bukuku By John Bukuku

BASSFU YATUA MKUNAZISAMAKI KUSIKILIZA WANANCHI

Mrajis Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni Zanzibar (BASSFU) Juma Choum Juma akizungumza  na wananchi wa shehia ya Kisauni na Maungani kuhusiana  changamoto mbalimbali zinazowakabili ikiwemo upigwaji wa muziki kwa sauti kubwa katika Baa ya Oxygen iliyopo Mkunazisamaki Wilaya ya Magharibi "B " ......... Na Rahma Khamis Maelezo    29/4/2024. Wananchi wa Shehia ya Kisauni na Muungani wameliomba

John Bukuku By John Bukuku

MIRADI 126 YENYE THAMANI YA TRILIONI 8.536 ITAPITIWA NA MWENGE WA UHURU MKOANI PWANI -KUNENGE

Mwamvua Mwinyi, Chalinze April 29 MWENGE wa Uhuru Kitaifa umeingia Mkoa wa Pwani ukitokea Mkoa wa Morogoro ambapo utakagua, kuweka jiwe la msingi na kutembelea miradi 126 yenye thamani ya trilioni 8.536 . Kati ya miradi hiyo 18 itawekwa mawe ya msingi, 22 itazinduliwa , 86 itakaguliwa katika umbali wa km1225.3. Akipokea Mwenge wa Uhuru April 29, 2024 eneo la

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

TIC IMEKUWA INJINI KUTEKELEZA MAONO YA RAIS DKT. SAMIA – MAJALIWA.

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameupongeza uongozi na wafanyakazi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa kuwa injini ya kutekeleza maono ya Rais wa Jamhuri ya Muuumgano wa Tanzania Dkt. Samia

John Bukuku By John Bukuku

DKT. NCHEMBA ASHIRIKI MKUTANO WA IDA21 JIJINI NAIROBI-KENYA

Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (MB), akipokelewa na Waziri wa Fedha wa Kenya Prof. Njuguna Ndung’u, alipowasili kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za

John Bukuku By John Bukuku