Home Mchanganyiko MAHAFALI YA 30 YA TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)

MAHAFALI YA 30 YA TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa)

0

 


Bi.
Pili Said Kassimu ambaye ni mmoja wa wahitimu wa ngazi ya Stashahada
akipokea cheti kutoka kwa Mgeni Rasmi Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe.
Zainabu Kawawa.


Mgeni
rasmi Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe. Zainabu Kawawa akitoa hotuba
wakati wa mahafali ya 30 ya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo
(TaSUBa) ambapo aliwataka wahitimu wakawe raia wema na kuitumia elimu
waliyoipata ipasavyo kwa ajili ya manufaa yao na Taifa kwa ujumla.

Mwenyekiti wa Bodi ya Washauri ya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni
Bagamoyo (TaSUBa) Bw. George D. Yambesi akitoa neno kwa wahitimu pamoja
na kumkaribisha mgeni rasmi kwa ajili ya kutoa hotuba yake.
Mgeni
Rasmi Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe. Zainabu Kawawa (katikati) akiwa
katika Meza Kuu na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Bagamoyo
pamoja na viongozi wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni bagamoyo (TaSUBa). 


Wahitimu wakisikiliza hotuba kwa umakini kutoka kwa Mgeni Rasmi ambaye
alikua ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe. Zainabu Kawawa (hayupo
pichani).

Mhitimu wa ngazi ya Stashahada Bw. David Nashoni akisoma risala kwa
niaba ya wahitimu wenzake mbele ya mgeni rasmi ambaye alikua ni Mkuu wa
wilaya ya Bagamoyo Mhe. Zainabu Kawawa.

 


Kikundi
cha ngoma kutoka Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa)
kikitoa burudani wakati wa mahafali ya 30 ya Taasisi hiyo.