Ad imageAd image

Latest news

MAWASILIANO YA BARABARA YA DAR – LINDI KUREJEA NDANI YA SAA 72, MAENEO MATANO YAKATIKA: WAZIRI BASHUNGWA

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi itatumia saa 72 (siku 3) kukamilisha zoezi la kurejesha miundombinu ya barabara ya Lindi – Dar es Salaam, ambayo imeharibiwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha zilizombatana na kimbunga Hidaya. Amesema hayo Mkoani Lindi Mei 05, 2024, mara baada ya kuwasili na kukagua uharibifu

Alex Sonna By Alex Sonna

WHO IS HUSSAIN YATOA MISAADA YA MILIONI 28 KAMBI YA WAATHIRIKA WA MAFURIKO CHUMBI,RUFIJI

Na Mwamvua Mwinyi, Rufiji Mei 5,2024. MKUU wa wilaya ya Rufiji, Meja Edward Gowelle ametoa agizo kwa watu ambao bado wanaoishi kwenye maeneo yaliyozingirwa na maji ,mabondeni waondoke na kuhamia kwenye maeneo yaliyotengwa na Serikali kwa ajili ya usalama wao. Akipokea misaada mbalimbali yenye thamani ya milioni 28 kutoka Taasisi ya WHO IS HUSSAIN, kwa ajili ya waathirika wa mafuriko

John Bukuku By John Bukuku

TUTAZIDI KUIMARISHA HUDUMA ZA UKUNGA KUKABILINA NA VIFO VITOKANAVYO NA UZAZI

Na WAF - Dar Es Salaam Serikali kupitia Wizara ya afya imedhamiria kuendelea kuboresha huduma za Ukunga sambamba na kuongeza idadi yao ili kupunguza vifo vya watoto wa mchanga. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema hayo leo Mei 5, 2024 kwenye siku ya Mkunga duniani ambapo mgeni rasmi katika Maadhimisho hayo alikuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa

John Bukuku By John Bukuku

KINANA APANGUA HOJA ZA CHADEMA KUHUSU KUTAKA KUWAGAWA WANANCHI

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Abdulrahman Kinana akizungumza na wanachama wa CCM na Wananchi wa Mkoa wa Dodoma katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete ..................... *Awashangaa kumchonganisha Rais Samia kwasababu tu anatoka Zanzibar *Awaambia Watanzania wasikubali kugawanywa kwa hoja dhaifu Na Mwandishi Wetu, Dodoma MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amewaomba Watanzania kutokubali

Alex Sonna By Alex Sonna

ZANZIBAR YAUNGANA NA DUNIA KUADHIMISHA SIKU YA WAKUNGA SAMBAMBA NA KUZINDUA JUMUIA YA WAKUNGA ZANZIBAR

Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh akikata utepe kuzindua Katiba ya Jumuiya ya wakunga Zanzibar mara baada ya kuizindua jumuiya hiyo katika maadhimisho ya siku ya wakunga Duniani yaliyofanyika Ukumbi wa sheikh Idrissa Abdul wakil Kikwajuni Mjini Unguja. Mkurugenzi Idara ya   uuguzi na ukunga  Mwanaisha  Juma Fakih (alievaa suit ya blue) na baadhi ya wauguzi wakicheza na kufurahia maadhimisho ya

John Bukuku By John Bukuku

JESHI LA POLISI MKOANI SONGWE LAWASHIKILIA WATUHUMIWA 424

Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe kwa kipindi cha mwezi Aprili, 2024 linawashikilia watuhumiwa 424 kwa tuhuma ya kujihusisha na matukio ya Ukatili wa kijinsia, Uvunjaji, Wizi, mauaji, utapeli kwa njia ya mtandao, Kujifanya mtumishi wa serikali, Kughushi nyaraka, dawa za kulevya, ukiukwaji wa sheria za usalama barabarani na kusababisha ajali za vifo. kufuatia malalamiko ya wananchi kuhusu huduma za

John Bukuku By John Bukuku

WAZIRI MHAGAMA AZINDUA MRADI WA ARSNA WA SHILINGI BIL.3.1 SONGEA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge na Uratibu Mheshimiwa Jenista Mhagama akizungumza kabla ya kuzindua  mradi wa ARSNA katika kijiji cha Mpitimbi wilayani Songea mkoani Ruvuma unaotekelezwa katika mikoa ya Ruvuma na Lindi kwa gharama ya shilingi bilioni 3.1. Baadhi ya wananchi katika kijiji cha Mpitimbi wilayani Songea mkoani Ruvuma wakishuhudia uzinduzi wa mradi wa ARSNA uliofanywa na

John Bukuku By John Bukuku

UBAKAJI,MIMBA KWA WANAFUNZI VINARA WA UKATILI WA KIJINSIA

Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Amina Makilagi akifungua jengo la Dawati la Jinsia wilayani humo leo kwa kukata utepe. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza,Wilbrod Mutafungwa akitoa takwimu za ukatili leo wakati kabla ya kufunguliwa jengo la Dawati la Jinsia la Wilaya ya Nyamagana. Mwonekano wa jengo la ofisi za Dawati la Jinsia Polisi Wilaya ya Nyamagana ambalo limejengwa na

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

EXIM BANK YAENDELEZA MALIPO YA KIDIJITALI KWA KUSHIRIKIANA NA CHEF’S PRIDE DODOMA

Mkuu wa Idara ya Huduma za Kadi na  Malipo wa Exim Bank, Paritosh Babla (kulia), na Mkurugenzi Mtendaji wa Mgahawa wa Chef's Pride, Salim Mahsen Al Amry, wakisaini makubaliano ya

John Bukuku By John Bukuku

BENKI YA NMB YAZINDUA AKAUNTI YA KIKUNDI

Benki ya NMB imezindua akaunti ya kikundi, inayokuja na maboresho makubwa kwa wanakikundi wote kufurahia huduma kidijitali. Kupitia akaunti hii, wanakikundi wataweza kutumia NMB Mkononi : ➡️ Kufungua akaunti kiurahisi

John Bukuku By John Bukuku