WATANZANIA WALIOPO WUHAN WAPO SALAMA-MAJALIWA
*********************** WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema vijana wa…
WAZIRI KABUDI: WATUMISHI FANYENI KAZI KWA BIDII NA USHIRIKIANO
Sehemu ya watumishi wa Wizara ya Mambo ya…
UTAPIA MLO CHANZO CHA KIFUA KIKUU KWA WATOTO,MTAALAM AELEZA
Mratibu wa kifua kikuu na ukoma Hospitali ya wilaya Tunduru Dkt Mkasange Kihongole kulia,akiongea na mmoja wa mzazi Hawa Hemed mwenye mtoto aliyebainika kupata maradhi ya kifua kikuu wakati wa kampeni ya uchunguzi na upimaji wa TB iliyofanyika katika Hospitali ya Misheni Mbesa wilayani humo, Muhudumu wa Afya ngazi ya jamii Salum anajihusisha na uelimishaji kuhusu ugonjwa wa kifua kikuu wilayani Tunduru Salum Kalembo akiongea jana na baadhi ya akina mama wa kijiji cha Mbesa waliofika kwenye kampeni ya uchunguzi na upimaji wa ugonjwa wa kifua kikuu wilayani Tunduru katika Hospitali ya Misheni Mbesa. Mratibu wa kifau kikuu na ukoma kutoka Hospitali ya wilaya Tunduru Dkt Mkasange Kihongole akitoa elimu ya ugonjwa wa kifua kikuu kwa baadhi ya akina mama wa kijiji cha Mbesa walifika katika zoezi la uchunguzi na upimaji wa ugonjwa huo iliyofanyika katika Hospitali ya Misheni Mbesa katika kampeni maalum ya kutokomeza ugonjwa huo ambayo wilaya ya Tunduru imezindua kampeni kabambe inayojulikana kama Nyumba kwa…
WATAKAO TUMIA RUSHWA UCHAGUZI MKUU CWT,KUNYANG’ANYWA USHINDI-RAIS CWT
Mwalimu wa chama cha walimu Tanzania CWT Leah…
MAJALIWA: TUTAENDELEA KUSHIRIKIANA NA MADHEHEBU YOTE NCHINI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mufti na Sheikh…
BAADA YA KUFIKISHA UMEME VIJIJINI TANESCO YAZIDISHA KAMPENI YA KUWAHAMASISHA WANAVIJIJI KUCHANGAMKIA FURSA HIYO
NA MWANDISHI WETU, TABORA SHIRIKA la umeme Tanzania…
MWALIMU WA SEKONDARI AKAMATWA AKISAFIRISHA WAHAMIAJI HARAMU
............................................................................................................................. Na.Alex Sonna,Dodoma Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma…
IDADI YA WATALII HIFADHI YA TAIFA YA SAADAN WAONGEZEKA
Sehemu ya wanyama aina ya Pundamilia wakila majani…
KAIMU DHRA WA TAA AHIMIZA MATUMIZI YA TANEPs
Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa…
NAIBU WAZIRI DKT.NDUMBARO AHITIMISHA ZIARA YAKE KATIKA ENEO LA USHOROBA WA MTWARA
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano…