Saturday, June 20, 2026

Mchanganyiko

Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.

56736 Stories
APOTEZA MAISHA AKIWA KWENYE FOLENI YA MAJI

APOTEZA MAISHA AKIWA KWENYE FOLENI YA MAJI

Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Nasomba katika kata ya Nalasi Mashariki wakiwa katika foleni ya kuchota maji ya bomba hii ikiwa ni mara ya kwanza kijiji hicho kupata maji ya Bomba tangu nchi ilipopata Uhuru mwaka 1961, kwenye mradi wa maji uilotekelezwa  na Serikali kupitiaWakala wa usambazaji maji vijijini Ruwasa wilaya ya Tunduru. Picha  na Muhidin Amri, ………………………………………………………………………………………….. Na Muhidin Amri,Tunduru KATIKA hali isio ya kawaida,mkazi wa kijiji cha Nasomba Halmashauri ya wilaya Tunduru mkoani Ruvuma  Hawa Said anayekadiriwa…

WANANCHI LUDEWA WALIA NA HUDUMA YA UMEME

WANANCHI LUDEWA WALIA NA HUDUMA YA UMEME

…………………………………………………………………………………. Na Damian Kunambi, Njombe Wananchi wa kata ya Kilondo tarafa ya Mwambao wilayani Ludewa mkoani Njombe wameiomba serikali kuwakamilishia mradi wa umeme ulionza…