Ad imageAd image

Latest news

WAZIRI MHAGAMA AZINDUA MRADI WA ARSNA WA SHILINGI BIL.3.1 SONGEA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge na Uratibu Mheshimiwa Jenista Mhagama akizungumza kabla ya kuzindua  mradi wa ARSNA katika kijiji cha Mpitimbi wilayani Songea mkoani Ruvuma unaotekelezwa katika mikoa ya Ruvuma na Lindi kwa gharama ya shilingi bilioni 3.1. Baadhi ya wananchi katika kijiji cha Mpitimbi wilayani Songea mkoani Ruvuma wakishuhudia uzinduzi wa mradi wa ARSNA uliofanywa na

John Bukuku By John Bukuku

UBAKAJI,MIMBA KWA WANAFUNZI VINARA WA UKATILI WA KIJINSIA

Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Amina Makilagi akifungua jengo la Dawati la Jinsia wilayani humo leo kwa kukata utepe. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza,Wilbrod Mutafungwa akitoa takwimu za ukatili leo wakati kabla ya kufunguliwa jengo la Dawati la Jinsia la Wilaya ya Nyamagana. Mwonekano wa jengo la ofisi za Dawati la Jinsia Polisi Wilaya ya Nyamagana ambalo limejengwa na

John Bukuku By John Bukuku

WANANCHI DODOMA WAFANYA USAFI KUEPUKA MAGONJWA YA MLIPUKO

Na. Dennis Gondwe, KIWANJA CHA NDEGE WANANCHI wa Mtaa wa Osterbay, Kata ya Kiwanja cha Ndege Halmashauri ya Jiji la Dodoma wamejitokeza kufanya usafi wa mazingira katika eneo la Shule ya Msingi Mlimwa B kwa lengo la kuweka mazingira safi na kuepuka na magonjwa ya mlipuko kwa wanafunzi na jamii kwa ujumla. Kauli hiyo ilitolewa na Afisa Mtendaji Mtaa wa

John Bukuku By John Bukuku

WAZIRI MKUU AFUNGUA MAADHIMISHO YA SIKU YA MKUNGA DUNIANI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam kufungua  Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani, Mei  5, 2024. Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chlamila na wa tatu  kulia ni Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

John Bukuku By John Bukuku

JKT YATEKELEZA KWA VITENDO AGIZO LA SERIKALI KUHUSU MATUMIZI YA GESI

Mkuu wa Tawi la Utawala JKT na Mwenyekiti wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akiangalia Mitungi wa gesi mara baada ya kuzindua jiko la gesi katika Kikosi 825 KJ Mtabila, wilayani Kasulu, Mkoa wa Kigoma. Na Alex Sonna-KASULU VIJIJINI JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limeanza kutekeleza agizo la Serikali la matumizi ya nishati safi

Alex Sonna By Alex Sonna

MRADI WA AFRICA BRIDGE WAPATA MAFANIKIO MAKUBWA KUSAIDIA WATOTO WANAOISHI MAZINGIRA MAGUMU

Mwanzilishi wa Mradi wa Africa Bridge na mtunzi wa Kitabu cha ‘And the Chidren Shall Lead Us, chenye simulizi ya kuwatoa watoto kwenye umasikini na kuwapa maarifa ya kilimo endelevu, kuboresha maisha yao, Barry Childs (kushoto) akikata utepe kuzindua kitabu hicho kupitia mradi wa Africa Bridge nchini, jijini Dar es Salam. Kulia ni Mtunzi wa Vitabu, Philip Whiteley Mwandishi wa

John Bukuku By John Bukuku

BARAZA LA MITIHANI LATANGAZA KUANZA KWA MITIHANI KIDATO CHA SITA NA UALIMU

Na Sophia Kingimali. BARAZA la Taifa la mitihani (NECTA) limetangaza kuanza kwa mitihani ya kidato cha sita na Ualimu huku wakitoa rai kwa kamati za mitihani kuhakiksha usalama wa vituo vya mitihani unaimarishwa na vituo vinatumika kwa mujibu wa mwongozo uliotolewa na baraza hilo. Akizungumza wakati akitoa taarifa ya kuanza mtihani huo kwa waandishi wa habari leo Mei 5,2024 Jijini

John Bukuku By John Bukuku

SERIKALI YATOA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 300 KUBORESHA MIUNDOMBINU SHULE YA MSINGI TUNDURU MCHANGANYIKO

 Mratibu elimu katika kata ya Mlingotimashariki wilayani Tunduru Erith Banga katikati,akimsikiliza Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Tunduru Mchanganyiko Sabila Lipukila kushoto,kuhusu ujenzi na uboreshaji wa miundombinu ya elimu katika shule hiyo yenye watoto zaidi ya 1,738 kati yao wanafunzi 43 ni wenye mahitaji maalum,kulia Mwalimu wa shule hiyo Ambilikile Mwandembo.  Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Tunduru Mchanganyiko wilayani

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

EXIM BANK YAENDELEZA MALIPO YA KIDIJITALI KWA KUSHIRIKIANA NA CHEF’S PRIDE DODOMA

Mkuu wa Idara ya Huduma za Kadi na  Malipo wa Exim Bank, Paritosh Babla (kulia), na Mkurugenzi Mtendaji wa Mgahawa wa Chef's Pride, Salim Mahsen Al Amry, wakisaini makubaliano ya

John Bukuku By John Bukuku

BENKI YA NMB YAZINDUA AKAUNTI YA KIKUNDI

Benki ya NMB imezindua akaunti ya kikundi, inayokuja na maboresho makubwa kwa wanakikundi wote kufurahia huduma kidijitali. Kupitia akaunti hii, wanakikundi wataweza kutumia NMB Mkononi : ➡️ Kufungua akaunti kiurahisi

John Bukuku By John Bukuku