Ad imageAd image

Latest news

WAZIRI MKUU AFUNGUA WARSHA YA WAKUU WA MIKOA NA MAKATIBU TAWALA KUHUSU HAKI JAMII

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anafungua warsha ya wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa kuhusu utekelezaji wa Mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai. Dodoma-Tanzania (Ukumbi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi). Mei 06, 2024.

John Bukuku By John Bukuku

 DC LUDEWA – VIONGOZI TUUNGANE NA AJENDA YA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN 

Na. Damian Kunambi, Njombe Mkuu wa wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva amewataka watendaji kata pamoja na madiwani kuungana na ajenda ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan iliyolenga kumtua mama ndoo kichwani kwa kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maji inayoletwa katika maeneo yao na kuhakikisha inakamilika na kotoa maji yaliyo safi na salama. Mkuu huyo wa wilaya ameyasema hayo katika jukwaa

John Bukuku By John Bukuku

MSONDE AWATAKA WALIMU KUBUNI NYEZO KUTAMBUA UWEZO WA MWANAFUNZI

Naibu Karibu Mkuu Wizara ya Tamisemi anaeyeshughulikia Elimu Dkt. Charles Msonde amewataka walimu kutumia moja ya Kanuni za kuchunguza uwezo wa mwanafunzi na kutumia nyezo zitakazomwezesha mwanafunzi huyo kuelewa vizuri masomo badala ya kuharakisha kumaliza mada (Topics). Dkt. Msonde amesema hayo wakati akizungumza na walimu wa shule mbalimbali za Halmashauri ya wilaya ya Mbogwe katika amesema ni heri mwanafunzi akafundishwa

John Bukuku By John Bukuku

TANROADS YAJIPANGA KUFANYA UKARABATI MIUNDOMBINU YA BARABARA MOROGORO

Na Victor  Makinda Morogoro Meneja wa Wakala wa Barabara mkoa wa Morogoro (TANROADS),Mhandisi Alinanuswe Kyamba, amewataka wananchi na viongozi mbali mbali wa kisiasa mkoani Morogoro, ambao barabara zao zimeharibika kutokana na mvua kubwa za masika, kuwa watulivu kwa kuwa wakala huo umejipanga kikamilifu kukarabati maeneo yote korofi ili yaweze kupitika wakati wakisubiri mvua zikatike wafanye marekebisho makubwa ya miundombinu ya

John Bukuku By John Bukuku

WAKUNGA ZINGATIENI WELEDI KWENYE UTOAJI WA HUDUMA – MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Wakunga na wataalamu wengine wa afya nchini kufanya kazi kwa weledi na kuongeza bidii katika kutoa huduma kwa wananchi wanaowahudumia. Amesema kuwa kada zote za afya zinasimamiwa na miiko na maadili ya taaluma na miongozo iliyowekwa. "Hivyo basi kila mmoja ahakikishe anazingatia maelekezo mahsusi ya utendaji wa kazi." Ameyasema hayo leo (Jumapili, 5

John Bukuku By John Bukuku

KAKATAA TUSIFUNGE NDOA BAADA YA KUMALIZA CHUO

Naitwa Vitusi,mkazi wa mkoa wa Mwanza, Tanzania, nilikuwa na mahusiano na mdada mmoja hivi, tangu mwaka 2012, tulipendana sana na kuaidiana mambo mengi siku za mbeleni. Kipindi hicho yeye alikuwa mwanafunzi, kwa hiyo sikutaka kuharibu malengo yake sikuwahi kumuuliza wala kumtaka kimwili mpaka akamaliza shule ndio tukakutana 2018 Kuanzia hapo tulipendana sana mpaka tukatambulishana nyumbani, yaani mahusiano yetu mpaka wazazi

John Bukuku By John Bukuku

MHE MUSTAFA H. MKULO AZIKWA KIJIJINI KWAKE KIMAMBA, KILOSA

Aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika Serikali ya awamu ya 4 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa zamani wa Jimbo la Kilosa mkoani Morogoro, Mustafa Haidi Mkulo mapema Leo mazishi yake yamefanyika nyumbani wilayani Kilosa. Mazishi hayo yamehudhuriwa na viongozi mbali mbali akiwemo Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe Stagomena Tax, Waziri nchi ofisi ya

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

EXIM BANK YAENDELEZA MALIPO YA KIDIJITALI KWA KUSHIRIKIANA NA CHEF’S PRIDE DODOMA

Mkuu wa Idara ya Huduma za Kadi na  Malipo wa Exim Bank, Paritosh Babla (kulia), na Mkurugenzi Mtendaji wa Mgahawa wa Chef's Pride, Salim Mahsen Al Amry, wakisaini makubaliano ya

John Bukuku By John Bukuku

BENKI YA NMB YAZINDUA AKAUNTI YA KIKUNDI

Benki ya NMB imezindua akaunti ya kikundi, inayokuja na maboresho makubwa kwa wanakikundi wote kufurahia huduma kidijitali. Kupitia akaunti hii, wanakikundi wataweza kutumia NMB Mkononi : ➡️ Kufungua akaunti kiurahisi

John Bukuku By John Bukuku