Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anafungua warsha ya wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa kuhusu utekelezaji wa Mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai.

Dodoma-Tanzania (Ukumbi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi).

Mei 06, 2024.