Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Wakunga na wataalamu wengine wa afya nchini kufanya kazi kwa weledi na kuongeza bidii katika kutoa huduma kwa wananchi wanaowahudumia. Amesema kuwa kada zote za afya zinasimamiwa na miiko na maadili ya taaluma na miongozo iliyowekwa. "Hivyo basi kila mmoja ahakikishe anazingatia maelekezo mahsusi ya utendaji wa kazi." Ameyasema hayo leo (Jumapili, 5…
Naitwa Vitusi,mkazi wa mkoa wa Mwanza, Tanzania, nilikuwa na mahusiano na mdada mmoja hivi, tangu mwaka 2012, tulipendana sana na kuaidiana mambo mengi siku za mbeleni. Kipindi hicho yeye alikuwa mwanafunzi, kwa hiyo sikutaka kuharibu malengo yake sikuwahi kumuuliza wala kumtaka kimwili mpaka akamaliza shule ndio tukakutana 2018 Kuanzia hapo tulipendana sana mpaka tukatambulishana nyumbani, yaani mahusiano yetu mpaka wazazi…
Aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika Serikali ya awamu ya 4 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa zamani wa Jimbo la Kilosa mkoani Morogoro, Mustafa Haidi Mkulo mapema Leo mazishi yake yamefanyika nyumbani wilayani Kilosa. Mazishi hayo yamehudhuriwa na viongozi mbali mbali akiwemo Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe Stagomena Tax, Waziri nchi ofisi ya…
NJOMBE, Halmashauri ya mji wa Njombe mefanikiwa kutoa chanjo ya Saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana wenye umri kati ya 9 - 14 kwa 91% na kuvuka lengo la angalau 80% kitaifa huku wakitarajia kufikia 100% ifikapo Mwezi Disember 2024 mwaka huu ili kujikinga na maambukizi ya ugonjwa huo. Simon Ngassa ni mtaalamu wa afya ambaye ni mratibu wa…
Na Prisca Libaga Arusha Ofisi ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini, Mei 4, 2024 imeshiriki Matembezi ya Maadhimisho ya Siku ya Afya ya Akili Duniani. Maadhimisho hayo yameratibiwa na Asasi ya Kiraia ya Self Awareness for Everyone (SAFE) inayoendesha shughuli zake katika Jiji la Arusha. Mgeni rasmi katika Maadhimisho hao alikuwa Mganga…
Mratibu Wa Mradi Wa Mu Iob Icp Connect Nchini Tanzania Ambaye Pia Ni Mhadhiri Wa Chuo Kikuu Mzumbe Dkt. Christina Shitima Akiwakaribisha Wadau Mbalimbali Waliohudhuria Wasilisho La Matokeo Ya Awali Ya Utafiti Wa Hatua Ya Mradi Wa Fuatiliamaji Unaohusu Vyanzo Vya Maji Vya Umma, Elimu, Maisha Na Ustahimilivu Mkuu Wa Idara Ya Uchumi Katika Kitivo Cha Sayansi Za Jamii Ambaye…
Mkuu wa Oganaizesheni Afisi Kuu ya CCM Zanzibar Omar Ibrahim Kilupi akifunguwa kongamano la jumuiya ya wazazi wa Mkoa wa Magharibi Kichama, lililofanyika skuli ya Ali Hassan Mwinyi Bububu Wilaya ya Magharibi A. Mlezi wa Mkoa wa magharibi kichama ambae pia Mwakilishi wa viti maalum kupitia jumuiya ya wazazi mkoa wa kusini Unguja Mhe. Sabiha Filfil Thani akizungumza katika kongamano la…
Confirmed
0
Death
0
Mkuu wa Idara ya Huduma za Kadi na Malipo wa Exim Bank, Paritosh Babla (kulia), na Mkurugenzi Mtendaji wa Mgahawa wa Chef's Pride, Salim Mahsen Al Amry, wakisaini makubaliano ya…
Benki ya NMB imezindua akaunti ya kikundi, inayokuja na maboresho makubwa kwa wanakikundi wote kufurahia huduma kidijitali. Kupitia akaunti hii, wanakikundi wataweza kutumia NMB Mkononi : ➡️ Kufungua akaunti kiurahisi…
Sign in to your account