Mchanganyiko
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA HABARI VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZO ZANZIBAR IKULU LEO
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatilia taarifa ya utekelezaji wa maagizo yake aliyoyatoa kwa Mawaziri na…
Waziri Ndugulile akabithi hati ya upanuzi wa kiwanja makao makuu ya PAPU.
Waziri wa Teknolojia na mawasiliano ya habari,Dokta Faustine Ndugulile akizungumza wakati alipotembelea mradi wa jengo la makao makuu ya PAPU lililopo mkoani Arusha Happy…
Tanzania Kinara Programu ya Ukombozi wa Bara la Afrika
Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa akielezea faida za Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika ******************************** …
WABUNGE WA KAMATI YA NISHATI NA MADINI WAPONGEZA MGODI WA TANZANITE WA FRANONE MINING
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, wakiwa kwenye mgodi wa kampuni ya madini ya Tanzanite ya Franone…
WIZARA YAWAKUTANISHA WADAU KUJADILI MAPENDEKEZO YA KUTUNGWA KWA SHERIA YA TEHAMA
Baadhi ya wadau walioshiriki katika kikao cha wadau cha kujadili mapendekezo ya kutungwa kwa Sheria ya TEHAMA kilichofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini…
KAMATI YA BUNGE VIWANDA, BIASHARA NA MAZINGIRA IMETEMBELEA UJENZI WA KIWANJA CHA CHANJO ZA WANYAMA NA KUKAGUA KIWANDA CHA KUTENGENEZA VIUADUDU VYA KUUA VILUWILUWI VYA MBU NA KUTEMBELEA TAASISI YA TIRDO.
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. David Mwakiposa Kihenzile(Mb) huku ikiwa imeambatana na…
Waziri Mhagama aiogonza Kamati Kudumu ya Bunge PAC kuukagua mradi wa Mbigiri
************************************** Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama ameiongoza kamati ya Kudumu…
WANANCHI SINGIDA WASISITIZWA KULINDA MIRADI YA MAJI
Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Emmanuel Luhahula akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi mara baada ya kuweka jiwe…
BILIONI 263 ZATUMIKA KUTEKELEZA MIRADI YA MAJI KAGERA, WANAOHUJUMU MIUNDOMBINU YA MAJI WATANGAZIWA KIAMA.
******************************************* Na Allawi Kaboyo – Bukoba. Mkoa wa Kagera umeungana na mikoa mingine nchini katika uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya maji kwa kutembelea…