SH.BILIONI 70 ZATENGWA KUFANYA MAPINDUZI YA VYUO VYA MAFUNZO YA KILIMO- KUSAYA
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya akitazama…
WILAYA YA BAGAMOYO HATIMAYE YAZINDUA KLINIKI MAALUMU YA WAGONJWA WA SIKOSELI
Baadhi ya Wataalamu wa huduma za ugonjwa wa…
MTUHUMIWA WA KOSA LA MAUAJI AKAMATWA MKOANI MBEYA
KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA WA KOSA LA MAUAJI. Jeshi…
MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MPENDAE, ZANZIBAR SALIM TURKY AFARIKI DUNIA
Zanzibar, Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha…
ECLAT FOUNDATION YAKABIDHI MADARASA TERRAT
Wanafunzi wa shule ya msingi Loorng'swani Kata ya…
POLISI RUVUMA YAFANYA MAZOEZI YA NGUVU KUJIAANDAA KUKABILINANA NA WAHARIFU WAKATI WA UCHAGUZI MKUU
Askari wa kikosi cha kuzuia ghasia(FFU)mkoani Ruvuma wakifanya mazoezi maalum wa kukimbia kuzunguka mitaa mbalimbali katika Manispaa ya Songea ikiwa ni kujiweka tayari kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu. Kamanda wa polisi mkoa wa Ruvuma Kamishina msaidizi Simon Maigwa katikati akifanya mazoezi na baadhi ya askari na maafisa wa Polisi wa kikosi cha kutuliza ghasia jana ikiwa ni kwa ajili ya kujiweka tayari kukabiliana na vitendo vyovyote vya uvunjifu wa amani wakati wa uchaguzi mkuu. Baadhi ya askari wa kikosi cha kutuliza ghasia FFU mkoani Ruvuma wakiwa katika gari la washawasha baada ya kumaliza mazoezi ya kukimbia umbali wa km 50 kuzunguka maeneo mbalimbali ya wilaya ya Songea jana ikiwa ni maandalizi ya kukabilianana matukio yoyote ya uharifu katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba. Picha na Muhidin Amri ............................................................ Na Muhidin Amri,Songea…
WAANDISHI WA HABARI ZA REDIO ZA JAMII WATAKIWA KUTUMIA VYEMA MITANDAO ILI KUPATA TAARIFA ZA UHAKIKA
Mwezeshaji wa mafunzo ya matumizi ya teknolojia ya…
DK.CHAULA AFUNGUA MAFUNZO KWA WATENDAJI WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA JIJINI DODOMA
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na…
RAIS DK. MAGUFULI AZUNGUMZIA UMUHIMU WA KUILINDA AMANI YA TANZANIA
Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama…
Watumishi wa Muhimbili waanza mafunzo ya Usimamizi wa Vihatarishi (Risk Management)
Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa…