Home Mchanganyiko MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MPENDAE, ZANZIBAR SALIM TURKY AFARIKI DUNIA

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MPENDAE, ZANZIBAR SALIM TURKY AFARIKI DUNIA

0

Zanzibar, 

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Mpendae Zanzibar Salim Hassan Abdullah Turky (Mr White) amefariki dunia leo usiku.

Taaria za awali zilizopatikana zimesemaTurky ambaye alikuwa Mbunge wa jimbo hilo katika kipindi kilichopita cha 2015-2020, amrfariki dunia usiku huu katika Hospitali ya Global alikopelekwa baada ya kuugua hafla.

Turky aliyezaliwa Februari 11, 1963 alikuwa pia mfanyabiashra maarufu wa Zanzibar, na taarifa zinasema, maandalizi na mazishi  yatafanyika leo saa kumi mchana, Fuoni, Kijitoupele, Zanzibar.