John Bukuku
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
BASI LA GREENLINE LIMEPATA AJARI SINGIDA: 6 WAFARIKI, 55 WAJERUHIWA
Watu sita wamepoteza maisha na wengine 55 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Greenline kupinduka katika Kijiji cha Mkiwa, Wilaya ya Ikungi mkoani…
WATUMISHI WIZARA YA MADINI WAPELEKA TABASAMU KITUO CHA WATOTO HURUMA HOMBOLO
Watoa Msaada kwa Makundi Maalum 📍Hombolo, Dodoma. Watumishi wa Wizara ya Madini leo Machi 31, 2026, wamepeleka tabasamu kwa jamii yenye uhitaji maalumu…
WAZIRI MKUU: MHE. LUKUVI ATAKUMBUKWA KWA MENGI
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Isimani,…
SERIKALI YAKARIBISHA WAWEKEZAJI KUTOKA UTURUKI KATIKA SEKTA ZA MIUNDOMBINU, NISHATI NA KILIMO
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (kushoto), akiagana na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Mhe. Dkt. Bekir Gezer, baada ya kukutana…
MHA. KASEKENYA: AFYA YA AKILI NA UWEKEZAJI NI MUHIMU KWA WATUMISHI
Na. Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog, Dodoma Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Mhe. Godfrey Kasekenya, amesisitiza umuhimu wa Watumishi kufuatilia afya zao ya akili,…
MBIBO ATEMBELEA MADUKA YA BIDHAA ZA MAPAMBO YA USONARA ARUSHA
Arusha Leo Machi 31, 2026, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo ametembelea maduka (vituo vya kutangazia bidhaa za Vito na Usonara zinazozalishwa…
SERIKALI YAONGEZA MSISITIZO KUDHIBITI USUGU WA VIMELEA DHIDI YA DAWA (UVIDA)
Serikali imeongeza msisitizo wa kuimarisha juhudi za kudhibiti usugu wa vimelea vya magonjwa dhidi ya dawa (UVIDA), kwa kuhimiza wizara na taasisi kuongeza kasi…
MAFUNZO YA USALAMA WA MABWAWA KUWAKUTANISHA WADAU WA MIGODI NA MAJI MWANZA
Na. Meleka Kulwa- Fullshangwe Blog, Dodoma Katika mwendelezo wa kuimarisha usalama wa mabwawa ya maji na yale ya tope sumu (TSF) migodini, Serikali…
DKT. NGWARU MAGHEMBE AKUTANA NA WAWEKEZAJI KUTOKA CHINA
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Ngwaru Jumanne Maghembe (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Kampuni…