Ad imageAd image

Latest news

WAZIRI MKUU: WAKUU WA MIKOA SIMAMIENI UTASHI WA RAIS SAMIA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa nchini waakisi utashi wa kisiasa wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia na kutekeleza mapendekezo yote yaliyotolewa na Tume ya Haki Jinai. “’Utashi wa kisiasa wa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuboresha mfumo wa utoaji wa Haki Jinai lazima udhihirike kwenu ninyi viongozi mlio karibu na wananchi. Hata hivyo,

John Bukuku By John Bukuku

PROF. MBARAWA: TMA INAENDELEA NA UDHIBITI NA URATIBU WA MUFUMO YA HALI YA HEWA

Waziri wa Wizara ya Uchukuzi Profesa Makame Mnyaa Mbarawa akiwasilisha Bajeti ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka 2024/2025 Bungeni leo. Moja ya mitambo mipya ya Rada iliyofungwa na Mamlaka ya hali ya Hewa TMA kupitia serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. ............................  Katika kuhakikisha wananchi wanaishi katika hali ya utulivu pamoja na mali zao na kuchukua

John Bukuku By John Bukuku

WAZIRI MKUU AFUNGUA WARSHA YA WAKUU WA MIKOA NA MAKATIBU TAWALA WA MIKOA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipofungua Warsha ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa   kuhusu Utekelezaji wa  Mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai kwenye ukumbi wa mikutano wa  Tume Huru ya Uchaguzi , Njedengwa jijini Dodoma, Mei 6, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya Kuandaa Mkakati

Alex Sonna By Alex Sonna

TASAC YAANDAA HATI YA MAKUBALIANO NA TTCL PAMOJA USCSAF KWAAJILI YA UJENZI WA MINARA MITATU

  Na Gideon Gregory, Dodoma. Katika kuimarisha mawasiliano katika Ziwa Victoria, Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limeandaa hati ya makubaliano baina yake na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) pamoja na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kwa ajili ya ujenzi wa minara mitatu (3) ya mawasiliano ya simu. Hayo yameelezwa leo Mei 06,2024 Bungeni Jijini Dodoma na Waziri

Alex Sonna By Alex Sonna

SERIKALI YATENGA MILIONI 300 KUKAMILISHA UJENZI JENGO LA KUHIFADHIA MAITI HOSPILI YA RUFAA MKOA WA KATAVI

Serikali kupitia Wizara ya Afya imetenga kiasi cha shilingi milioni 300 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa jengo la kuhifadhia Maiti Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Katavi. Kauli hiyo imebainishwa na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel leo Jijini Dodoma wakati akijibu swali Namba 254 kutoka kwa Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Taska Restituta Mbogo aliyeuliza Je, lini Serikali

Alex Sonna By Alex Sonna

RC CHONGOLO AIPA HEKO TANROAD, BILIONI 5.7 ZATOLEWA KUTATUA CHANGAMOTO ZA MIUNDOMBINU MKOANI SONGWE

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Daniel Chongolo ameipongeza timu ya wataalamu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kwa kufanya kazi kwa haraka na ufanisi mkubwa kuhakikisha barabara zinapitika mkoani Songwe. Rc Chongolo ameeleza kuwa changamoto ya uharibifu mkubwa wa miundombinu umefanyiwa kazi kwa haraka na timu ya wataalamu wa TANROADS na TARURA jambo ambalo limerejesha mawasiliano ya pande zote

John Bukuku By John Bukuku

TANZANIA MWENYEKITI WA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA AU MWEZI MEI 2024

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TANZANIA KUWA  MWENYEKITI WA BARAZA LA AMANI NA USALAMA  LA UMOJA WA AFRIKA, MWEZI MEI 2024  Kuanzia tarehe 1 Mei 2024, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imechukua  Uenyekiti wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU), ambao  utadumu hadi tarehe 31 Mei 2024. Katika kipindi hicho Baraza litaadhimisha  Miaka 20 tangu lilipoanza

Alex Sonna By Alex Sonna

RC CHONGOLO AIPA HEKO TANROADS//BIL 5.7 ZATOLEWA KUTATUA CHANGAMOTO ZA MIUNDOMBINU MKOANI SONGWE

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Daniel Chongolo ameipongeza timu ya wataalamu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kwa kufanya kazi kwa haraka na ufanisi mkubwa kuhakikisha barabara zinapitika mkoani Songwe. Rc Chongolo ameeleza kuwa changamoto ya uharibifu mkubwa wa miundombinu umefanyiwa kazi kwa haraka na timu ya wataalamu wa TANROADS na TARURA jambo ambalo limerejesha mawasiliano ya pande zote

Alex Sonna By Alex Sonna
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

EXIM BANK YAENDELEZA MALIPO YA KIDIJITALI KWA KUSHIRIKIANA NA CHEF’S PRIDE DODOMA

Mkuu wa Idara ya Huduma za Kadi na  Malipo wa Exim Bank, Paritosh Babla (kulia), na Mkurugenzi Mtendaji wa Mgahawa wa Chef's Pride, Salim Mahsen Al Amry, wakisaini makubaliano ya

John Bukuku By John Bukuku

BENKI YA NMB YAZINDUA AKAUNTI YA KIKUNDI

Benki ya NMB imezindua akaunti ya kikundi, inayokuja na maboresho makubwa kwa wanakikundi wote kufurahia huduma kidijitali. Kupitia akaunti hii, wanakikundi wataweza kutumia NMB Mkononi : ➡️ Kufungua akaunti kiurahisi

John Bukuku By John Bukuku