*Watanzania 80% Kutumia Nishati Safi ya Kupikia Ifikapo 2034 *Wakuu wa Mikoa na Wilaya Kusimamia Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu Wizara, Taasisi, Mamlaka, wadau na sekta binafsi zimeagizwa kuzingatia matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ili kulinda mazingira na athari nyingine zinazotokana na nishati isiyo safi. Agizo hilo limetolewa na Rais wa Jamhuri…
Na. WAF - Dar Es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemchagua na kumpendekeza Dkt. Faustine Ndugulile kugombea nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika ambapo ni kwa mara ya kwanza Tanzania inatoa mgombea wa nafasi hiyo. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema hayo leo Mei 8, 2024…
Mkuu wa Tawi la Utawala JKT, Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akikagua maendeleo ya ujenzi wa Mahanga mara baada ya kuweka jiwe la Msingi ujenzi wa Mahanga ya Vijana katika kikosi cha 824 KJ Kanembwa,Wilayani Kakonko Mkoani Kigoma. Na.Alex Sonna-KAKONKO JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limeishukuru Serikali ya awamu ya sita kwa kutoa fedha nyingi za maendeleo kwa ajili ya ujenzi wa …
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akijibu swali la Mbunge wa Temeke, Mhe. Dorothy George Kilave na Mbunge wa Mafinga Mjini, Mhe. Cosato David Chumi, kuhusu mpango wa Serikali wa kuwasaidia wafanyabiashara kulipwa madai yao pamoja na riba wanapo cheleweshewa malipo na pia Serikali itaanza lini kurejesha asilimia 20 (Retention) ya Kodi ya Ardhi kwenye Halmashauri. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwenye hafla iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2024. .................... Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suruhu Hassani amezindia Mkakati wa Taifa…
Mfanyakazi bora wa Barrick, Dativa Katabaro, akipokea zawadi kutoka kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk.Philip Mpango. Wafanyakazi wa mgodi wa Barrick waliochaguliwa wafanyakazi bora wakipokea vyeti kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga,Anamringi Macha. Wafanyakazi wa mgodi wa Barrick waliochaguliwa wafanyakazi bora wakipokea vyeti kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga,Anamringi Macha. Wafanyakazi wa mgodi wa…
NA VICTOR MASANGU,DAR Kiongozi wa mbio za Mwenge wa uhuru kitaifa kwa mwaka wa 2024 Godfrey Msava amewapongeza kwa dhati viongozi mbali mbali wa Mkoa wa Pwani kwa kuweza kuwa kitu kimoja katika kusimamia miradi mbali mbali ya maendeleo ambayo imempelekea kuridhishwa na kuipitisha miradi 26 kati ya 28 iliyotembelewa. Kiongozi huyo alibainisha kwamba amefurahishwa kuona ushirikiano mzuri alionao Mkuu…
Na Sophia Kingimali. WAZIRI wa Viwanda na biashara Dkt.Ashatu Kijaji anatarajiwa kuwa mgeni rasmi siku ya maadhimisho ya siku ya miliki bunifu Duniani yanayotarajiwa kufanyika Mei 9,2024 jijini Dar es salaam ambapo maazimisho hayo yataenda sambamba na utaiji saini wa hati ya makubaliano katika eneo la miliki ubunifu baina ya BRELA na COSOTA. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Mei…
Confirmed
0
Death
0
Na Sophia Kingimali. WAZIRI wa Viwanda na biashara Dkt.Ashatu Kijaji anatarajiwa kuwa mgeni rasmi siku ya maadhimisho ya siku ya miliki bunifu Duniani yanayotarajiwa kufanyika Mei 9,2024 jijini Dar es…
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Taska Restituta Mbogo, aliyetaka kufahamu lini Serikali itawaongezea pesheni wastaafu wanaolipwa shilingi 100,000 kwa mwezi…
Sign in to your account