Ad imageAd image

Latest news

KITENDO CHA KUOA MWANAMKE MWENYE WATOTO KINATUANDAMA SISI WATOTO

Jina langu ni Emma, natokea Singida nchini Tanzania, baba yangu kabla ya kukutana na mama yangu mzazi kimahusiano, alikuwa ana watoto wanne aliowapata kwa wanawake wengine wawili tofauti. Baada ya kuachana na wanawake hao ndipo akampata mama yangu na mimi nikazaliwa, wakiume tupo watano, mimi nikiwa mtoto wa mwisho katika familia yetu. Sasa kilichonishangaza ni kwamba kaka zangu wote walishaoa

John Bukuku By John Bukuku

DKT.MWINYI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA CCM, ZANZIBAR

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameongoza kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar tarehe: 19 Mei 2024. 

John Bukuku By John Bukuku

MWENGE WA UHURU WAWASILI WILAYA YA MAGHARIBI A UNGUJA.

Mkuu wa Wilaya ya Mjini Rashid Simai Msaraka kulia akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Wilaya ya Magharibi A Suzan Peter Kunambi ili kuutembeza katika Wilaya yake na Kutembelea Miradi mbalimbali Zanzibar. Kiongozi wa Mbio za Mwenge 2024 Godfrey Eliyakim Mzava akimkabidhi Mjasiriamali (Mamantilie )Sharifa Kiruasha Jiko Sanifu la kutumia Mkaa wa Mawe katika Mradi wa Uhifadhi Mazingira kutumia Nishati

John Bukuku By John Bukuku

MWENENDO WA KIMBUNGA “IALY” KATIKA BAHARI YA HINDI KASKAZINI MWA MADAGASCAR

Kufuatia taarifa iliyotolewa tarehe 17 Mei 2024 na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kuhusu kuwepo kwa kimbunga “IALY” katika Bahari ya Hindi kaskazini mwa kisiwa cha Madagascar, Mamlaka inapenda kutoa mrejeo kuhusiana na mwendendo wa kimbunga hicho. Mifumo ya hali ya hewa inaonesha kuwa kimbunga hicho kimeendelea kuimarika na bado kimeendelea kusalia katika Bahari ya Hindi kama ilivyotabiriwa

John Bukuku By John Bukuku

UNYANYAPAA , MITIZAMO HASI YA JAMII KIKWAZO CHA AJIRA ZA WATU WENYE ULEMAVU

NA BALTAZAR MASHAKA,MWANZA SHIRIKISHO la Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA), Wilaya ya Nyamagana,linatambua jitihada za serikali za kuboresha maisha ya Watanzania wakiwemo watu wenye walemavu, mitizamo hasi ya jamii na sekta binafsi kuwa walemavu hawawezi kufanya kazi licha ya kuwa na sifa na elimu ni kikwazo cha kutoajiriwa.  Mwenyekiti wa SHIVYAWATA wilayani humu,Hamza Nyamakurura amesema leo (mwishoni mwa wiki), katika

John Bukuku By John Bukuku

KONGOLE RAIS SAMIA KWA UWEKEZAJI HUU MKUBWA WA MADAKTARI BINGWA

Na: Dk. Reubeni Lumbagala. Mwanafalsafa mmoja wa kiroho aliwahi kusema kwamba mtu aliyepewa dunia na muumba wake ni yule anayeamka asubuhi akiwa na vitu vitatu vifuatavyo: amani, chakula cha siku hiyo na afya. Kuhusu suala la afya ambalo makala hii linaiangazia zaidi, utoaji wa huduma bora kwa wagonjwa unategemea uwepo wa vitu vingi, lakini kubwa miongoni mwa hayo ni uwepo

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

NMB YAFUNGA NDOA NA WANAWAKE WANAOMILIKI SHULE NA VYUO NCHINI TANZANIA

NA MWANDISHI WETU, DAR BENKI ya NMB imeingia makubaliano rasmi (MoU) na Chama cha Wanawake Wamiliki wa Shule na Vyuo Tanzania (TAWOSCO), yaliyosainiwa sambamba na uzinduzi wa ‘NMB School Proposition,

John Bukuku By John Bukuku

IMF YARIDHISHWA NA NAMNA TANZANIA INAVYOTEKELEZA MPANGO WA ECF

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (katikati), akizungumza kwa njia ya mtandao katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania Tawi la Arusha, wakati wa Kikao cha Majadiliano

John Bukuku By John Bukuku