Ad imageAd image

Latest news

KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE AKOSHWA NA MIRADI 26 YA MAENDELEO MKOA WA PWANI

NA VICTOR MASANGU,DAR Kiongozi wa mbio za Mwenge wa uhuru kitaifa kwa mwaka wa 2024 Godfrey Msava amewapongeza kwa dhati viongozi mbali mbali wa Mkoa wa Pwani kwa kuweza kuwa kitu kimoja katika kusimamia miradi mbali mbali ya maendeleo ambayo imempelekea kuridhishwa na  kuipitisha miradi 26 kati ya 28 iliyotembelewa. Kiongozi huyo alibainisha kwamba amefurahishwa kuona ushirikiano mzuri alionao Mkuu

Alex Sonna By Alex Sonna

DKT. KIJAJI MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA MILIKI BUNIFU DUNIANI

Na Sophia Kingimali. WAZIRI wa Viwanda na biashara Dkt.Ashatu Kijaji anatarajiwa kuwa mgeni rasmi siku ya maadhimisho ya siku ya miliki bunifu Duniani yanayotarajiwa kufanyika Mei 9,2024 jijini Dar es salaam ambapo maazimisho hayo yataenda sambamba na utaiji saini wa hati ya makubaliano katika eneo la miliki ubunifu baina ya BRELA na COSOTA. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Mei

John Bukuku By John Bukuku

SERIKALI YAENDELEA KUIMARSHA HUDUMA ZA MAABARA NGAZI YA MSINGI

WAF, Dodoma Wizara ya Afya kwa kushirikiana na wafadhili wa Global Fund wametoa vifaa vya Tehama kwa Ofisi ya Rais TAMISEMI ili kusaidia kuongeza upatikanaji wa Huduma bora za maabara na afya kwa ngazi ya msingi. Hayo yamebainishwa leo jijini Dodoma na Mkurugenzi wa Huduma za Uchunguzi na Matengenezo ya Vifaa Tiba, Dkt. Alex Magesa wakati akimwakilisha Katibu Mkuu wa

Alex Sonna By Alex Sonna

SERIKALI KUJENGA KITUO CHA KUPOZA UMEME NA SWITCHING STATION SONGWE- MHE. KAPINGA

 *Lengo ni kuimarisha upatikanaji umeme mkoani Songwe  *Uboreshaji wa miundombinu ya umeme unaendelea Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali inaendelea na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya umeme itakayoboresha upatikanaji umeme mkoani Songwe ikiwemo ujenzi wa kituo cha umeme na _switching station_ . Naibu Waziri Kapinga amesema hayo tarehe 8 Mei, 2024 bungeni jijini Dodoma  wakati akijibu swali

John Bukuku By John Bukuku

RAIS SAMIA KATIKA UZINDUZI WA MKAKATI WA TAIFA WA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Doto Mashaka Biteko mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuzindua Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia tarehe 08 Mei, 2024.

John Bukuku By John Bukuku

WANAFUNZI SAVANNAH PLAINS KUIWAKILISHA TANZANIA MASHINDANO YA UBINGWA WA DUNIA YA KUONGEA KWENYE HADHARA

  Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog   Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Savannah Plains iliyopo Ibadakuli katika Manispaa ya Shinyanga Mkoa wa Shinyanga nchini Tanzania wamesafiri kuelekea Jijini Nairobi nchini Kenya kushiriki Mashindano ya Ubingwa wa Dunia wa Mjadala na Kuongea kwenye hadhara kwa kutumia lugha ya Kiingereza (World Championship Debate and Public Speaking Tournaments) yatakayofanyika kuanzia Mei

Alex Sonna By Alex Sonna

DAWA YA SIKU 6 YAKATISHA MASIMANGO YA MIAKA 7 KISA MTOTO

Kwa hakika ni matarajio ya kila mtu katika maisha ya ndoa aweze kupata watoto ambao wataleta furaha na mwisho wa siku waje kuwa msaada kwa wazazi wao siku za mbeleni wakija kukua licha na hayo watoto pia huleta faraja lakini hii ilikuwa tofauti kwangu ambapo nilihangaika sana kupata mtoto lakini ilionekana kushindikana. Tulifanya kila kitu mimi na bwana wangu kama

John Bukuku By John Bukuku

WAHITIMU JKT WAASWA DHIDI YA UHALIFU

    MKUU wa wilaya ya Kakonko Kanali Evance Mallasa,akikagua Gwaride la Heshima kabla ya kufunga  mafunzo ya awali ya kijeshi kwa vijana wa Kujitolea ‘Operesheni ya Miaka 60 ya JKT’, katika kikosi cha Jeshi cha 824 KJ Kanembwa wilayani Kakonko Mkoani Kigoma.   MKUU wa wilaya ya Kakonko Kanali Evance Mallasa,akishuhudia kiapo cha utii cha vijana wa mafunzo ya

Alex Sonna By Alex Sonna
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

DKT. KIJAJI MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA MILIKI BUNIFU DUNIANI

Na Sophia Kingimali. WAZIRI wa Viwanda na biashara Dkt.Ashatu Kijaji anatarajiwa kuwa mgeni rasmi siku ya maadhimisho ya siku ya miliki bunifu Duniani yanayotarajiwa kufanyika Mei 9,2024 jijini Dar es

John Bukuku By John Bukuku

SERIKALI YAUNDA KAMATI YA UCHAMBUZI VIWANGO VYA PENSHENI

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Taska Restituta Mbogo, aliyetaka kufahamu lini Serikali itawaongezea pesheni wastaafu wanaolipwa shilingi 100,000 kwa mwezi

John Bukuku By John Bukuku