Biashara
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
WATANZANIA WAOMBWA KUWEKEZA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO (DRC)
Watanzania wameombwa kuwekeza kibiashara katika nchi ya Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo DRC na kutohofia suala usalama kwa sababu serikali inajitahidi kuhakikisha wananchi wanaishi…
TBL ilivyoshiriki maonyesho viwanda ya SADC, Chapa ya kinywaji cha Konyagi yavutia wengi
Maonyesho ya nne ya wiki ya viwanda kwa nchi za Jumuiya ya Kiuchumi Kusini mwa Afrika (SADC) yalifanyika wiki iliyopita jijini Dar es Salaam,…
Timu kutoka Tanzania yaingia fainali Mashindano ya kutafuta ubunifu na suluhisho kimataifa nchini Cambodia
Timu ya Agrobot kutoka Tanzania AGROBOT (Taarifa sahihi kwa Kilimo) Timu ya Peru kuhusu suluhisho la uthibitisho wa simu katika matumizi. Timu kutoka Cambodia…
MFUMUKO WA BEI KWA MWEZI JULAI 2019 WABAKI ASILIMIA 3.7
Kaimu Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Jamii, Ruth Minja akizungumza na waandishi wa vyombo vya habari wakati alipokuwa akitoa taarifa ya mfumuko wa…
BENKI KUU YA TANZANIA YAIBUKA MSHINDI WA KWANZA SEKTA YA FEDHA NA MSHINDI WA PILI WA JUMLA, KATIKA MAONESHO YA NANE NANE KITAIFA MKOANI SIMIYU
NA K-VIS BLOG/Khalfan Said, Simiyu BENKI Kuu ya Tanzania(BoT), imeibuka Mshindi wa Kwanza kwa taasisi za Fedha na Mshindi wa Pili wa Jumla (Second…
DIAMOND PLATNUMZ AIBUKIA KWENYE MASHAMBA YA ZABIBU AAHIDI KUITANGAZA ZABIBU YA DODOMA KIMATAIFA
************ Msanii Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz leo amefanya ziara ya kuhamasisha utalii wa ndani kwa kutembelea mashamba ya zabibu Jijini Dodoma na…
RAIS WA ZANZIBAR MH.DK. SHEIN AISHAURI KAMPUNI YA ASAS KUPELEKA BIDHAA ZA MAZIWA VISIWANI ZANZIBAR
Rais wa Zamnzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi (SMZ) Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Mshauri wa Kampuni ya ASAS Dairies Limited Bw. Abdul…
BENKI YA CRDB YAELEZEA UMUHIMU WA AKAUNTI YA TANZANITE KWA WANADIASPORA KATIKA MKUTANO WA SADC
Meneja Uhusiano wa benki ya CRDB , Godwin Semunyu na Nuru Kilasa Afisa Uhusiano Mwandamizi Benki ya CRDB wakitoa maelezo kwa baadhi ya wateja…
WAKALA WA VIPIMO WMA KATIKA MAONESHO YA 4 YA WIKI YA VIWANDA KWA NCHI ZA SADC JIJINI DAR ES SALAAM
Bw. Peter Chuwa Meneja wa Wakala wa Vipimo (WMA) Kitengo cha Bandari akizungumza na waandishi wa habari katika banda la taasisi hiyo katika maonesho…