Home Biashara BENKI YA CRDB YAELEZEA UMUHIMU WA AKAUNTI YA TANZANITE KWA WANADIASPORA KATIKA...

BENKI YA CRDB YAELEZEA UMUHIMU WA AKAUNTI YA TANZANITE KWA WANADIASPORA KATIKA MKUTANO WA SADC

0


Meneja Uhusiano wa benki ya CRDB , Godwin Semunyu na Nuru Kilasa Afisa Uhusiano Mwandamizi Benki ya CRDB wakitoa maelezo kwa baadhi ya wateja waliotembelea katika banda la benki hiyo kwenye maonesho ya 4 ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayoendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es salaam.
Meneja Uhusiano wa benki ya CRDB , Godwin Semunyu , Lucy Kimei Meneja wa Benki ya CRDB Diaspora na Nuru Kilasa Afisa Uhusiano Mwandamizi Benki ya CRDB wakitoa maelezo kwa baadhi ya wateja waliotembelea katika banda la benki hiyo kwenye maonesho ya 4 ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayoendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es salaam.