Alex Sonna
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
BENKI YA BIASHARA MKOMBOZI YAZINDULIWA RASMI NJOMBE
NJOMBE Kufuatia taasisi nyingi za fedha kukwepa kutoa mikopo katika sekta ya kilimo , wakazi wa mkoa wa Njombe wametumia fursa ya uzinduzi wa…
WANANCHI MOROGORO WATAKIWA KUACHANA NA VISHOKA
Meneja wa Tanesco Wilaya ya Gairo Bw. Isack Emmanuel Mwaipopo akiongea na wananchi wa kata ya idibo wilayani gairo wakati wa ziara ya kutoa…
MAUAJI YA MWANAFUNZI YAZIDI KUWATESA WATUHUMIWA AMBAO NI WANAFUNZI WENZAKE
Na Silvia Mchuruza,Kagera; WANAFUNZI wa shule ya Sekondari ya Katoro Islamic ya mkoani Kagera wanaotuhumiwa katika kesi ya mauaji ya kukusudia ya mwanafunzi mwenzao,…
WAZIRI MKUU KUANZA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TATU MKOANI SINGIDA
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) leo kuhusu ziara ya kikazi atakayoifanya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa…
SERIKALI YAJIPANGA KUZALISHA MALISHO BORA NCHINI
Mkurugenzi wa Utafiti,Mafunzo na Ugani kutoka wizara ya mifugo Dkt.Angello Mwillawa,akifafanua jambo kwa washiriki sehemu ya pili ya mafunzo rejea kwa wataalam wa malisho…
WAZEE WAIOMBA SERIKALI KUWAPATIA PENSHENI JAMII
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Idara Kuu Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu akifungua kongamano la wazee lililofanyika katika ukumbi wa Benki Kuu Mkoani…
RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA USHAURI WAKE WA KUWASAMEHE WATUHUMIWA WA UHUJUMU UCHUMI WALIO TAYARI KUTUBU NA KURUDISHA FEDHA NA MALI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwendesha Mashataka Mkuu wa Serikali (DPP) Bw.Biswalo Mganga baada ya…
NMB YABORESHA MFUMO WA ULIPAJI KWA KUTUMIA KADI
Maofisa wa Benki ya NMB wakifurahi pamoja na Waziri wa Habari, Utalii, Mambo ya Kale wa Zanzibar, Mheshimiwa Mahmoud Thabit Kombo baada ya kukabidhiwa…