Beki wa timu ya Simba Hanock Inonga Baka aliyekiwasha vilivyo kwenyeย  michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON nchiniย  Ivory Coast skies na timu Yale ya taiga ya DR. Congo pamoja na wachezaji wenzake wa klabuย  ya Simba wakiondoka Alfajiri ya Leo kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere JNIA kuelekea Ivory Coast tayari kwa kumenyana na timu ya Asec Mimosas ya nchini humo katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika mchezo utakaochezwa siku ya Ijumaa February 23, 2024,

Katika Mchezo wa awali uliofanyika Dar es salaam timu hizo zilitoka sare ya 1-1.