Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa hutuba yake leo katika Kongamano la sita la Kiswahili la Kimataifa lililofanyika  katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi  Wete Pemba.[Picha na Ikulu] 18/12/2022. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa hutuba yake leo katika Kongamano la sita la Kiswahili la Kimataifa lililofanyika  katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi  Wete Pemba.[Picha na Ikulu] 18/12/2022.

Viongozi na Washiriki mbali mbali wakiwa katika Kongamano la Sita la Kiswahili la Kimataifa lililofungwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi katika ukumbi wa  Baraza la Wawakilishi  Wete Pemba.[Picha na Ikulu]  18/12/2022.