Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (kushoto) akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Dkt. Zeyana Abdallah Hamid wakati wa kikao cha Bunge jijini Dodoma leo Juni 15, 2026. Aliyekaa mbele ni Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile.
HABARI PICHA WAZIRI MASAUNI ASHIRIKI KIKAO CHA BUNGE
By John Bukuku
June 15, 2026 | 9:05 am

Related Stories
View all
Mchanganyiko
5 hours ago
MAADHIMISHO YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI YAANZA RASMI BURUNDI KWA MIJADALA YA KITAALUMA
Maadhimisho ya 5 ya Siku ya Kiswahili Duniani (MASIKIDU), yanayofanyika tarehe 5 hadi 7 Julai 2026, yamefunguliwa rasmi Nchini Burundi ikiwa ni hatua muhimu…
Mchanganyiko
5 hours ago
WAZIRI AKWILAPO: WANUNUZI WA VIWANJA WAFUATE USHAURI WA WATAALAMU WA ARDHI
Na John Bukuku, Dar es Salaam. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Leonard Akwilapo, amewataka wananchi wanaotaka kununua viwanja na ardhi…