Ad imageAd image

Latest news

WAZIRI MKUU MGENI RASMI KILELE CHA MAADHIMISHO SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI 

waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma kuwa mgeni rasmi kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, Aprili 3, 2024. Kulia kwake ni Waziri Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye na kushoto ni Katibu Tawala  Mkoa wa Dodoma, Kaspar Mmuya. (Picha na Ofisi

Alex Sonna By Alex Sonna

MAKAMU WA RAIS AKIKABIDHIWA KITABU CHA MIAKA 60 YA JMT

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa Kitabu cha Safari ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Picha na Balozi wa Tanzania nchini Italia ambaye ni mmoja wa Waandaaji wa Kitabu hicho Mhe. Mahmoud Thabit Kombo. Makabidhiano hayo yamefanyika OfisiNI kwa Makamu wa Rais mkoani Dodoma.

John Bukuku By John Bukuku

KAMATI YA BUNGE YAIMWAGIA SIFA NIRC KUTEKELEZA VIZURI MIRADI YA UMWAGILIAJI

*Yampongeza Mkurugenzi Mkuu Ndugu Mndolwa, yamtia moyo achape kazi MAKAMU Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Kilimo, imeipongeza Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), kwa kazi kubwa inayoifanya katika kufanikisha Kilimo cha umwagiliaji nchini. Aidha, amempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa NIRC Raymond Mndolwa kwa kuiongoza vyema Tume hiyo kutekeleza mikakati ya Serikali ya Awamu ya Sita

John Bukuku By John Bukuku

CHIKOTA APENDEKEZA TOZO ZINAZOMUUMIZA MKULIMA WA KOROSHO ZIFUTWE.

Mbunge wa Nanyamba (CCM), Abdallah Chikota,akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Kilimo kwa Mwaka 2024/25 bungeni jijini Dodoma . Na Mwandishi Wetu, DODOMA Mbunge wa Nanyamba (CCM), Abdallah Chikota amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan namna anavyothamini sekta ya kilimo na dhamira ya kuwakomboa wakulima kwa kuongeza bajeti ya Wizara ya Kilimo kutoka Sh.Bilioni 900 hadi Trilioni 1.24.

Alex Sonna By Alex Sonna

RC CHONGOLO AKITETA NA WANAFUNZI SHULE YA MSINGI MALANGALI

Picha na Issa Mwadangala Picha mbalimbali zikimuonesha Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mh. Daniel Chongolo akiwasikiliza  wanafunzi wa shule ya Msingi Malangali iliyopo Wilayani Ileje alipokuwa anawauliza maswali pindi alipotembelea shule hiyo kwa lengo la kukagua maendeleo ya wanafunzi na kupima uelewa wao. Mh. Cholongo amewataka wanafunzi  hao kutumia muda mwingi kujifunza ili kuongeza maarifa ambayo ni sehemu kubwa ya

Alex Sonna By Alex Sonna

RAIS SAMIA ATOA BIL 5 KUREJESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA NA MADARAJA – LINDI

Mvua kubwa za El-Nino zilizonyesha zimeleta athari maeneo mbalimbali hapa Nchini ikiwemo katika Mkoa wa Lindi ambapo zimesababisha uharifu mkubwa wa miundombinu ya barabara na madaraja. Mvua hizo katika baadhi ya maeneo zilikwamisha shughuli za maendeleo ya Wananchi, na hivyo kuifanya Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kufanya kila linalowezekana kurejesha mawasiliano ya barabara zilizokatika kwa haraka. Kwa kuliona

Alex Sonna By Alex Sonna

MWENENDO WA KIMBUNGA “HIDAYA” KATIKA BAHARI YA HINDI PWANI YA TANZANIA

..................... Dar es Salaam, 03 Mei 2024 saa 3:00 Asubuhi: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “HIDAYA” kilichopo katika Bahari ya Hindi mashariki mwa pwani ya nchi yetu. Kimbunga “HIDAYA” kimeendelea kuimarika na kusogea kuelekea maeneo ya pwani ya nchi yetu ambapo hadi kufika saa tisa usiku wa tarehe 03 Mei 2024

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

NMB YANG’ARA MAONESHO YA (OSHA) ARUSHA

Benki ya NMB imebeba tuzo ya kampuni bora kwenye sekta ya fedha na bima kama mshindi wa pili (first runner up) katika tuzo zilizotolewa na Wakala wa Usalama na Afya

John Bukuku By John Bukuku

BENKI YA TAIFA YA USHIRIKA MKOMBOZI WA VYAMA VYA USHIRIKA

Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe (Mb), amesema wizara yake kupitia Tume ya Maendeleo ya Ushirika katika mwaka 2024/2025 itaratibu ukamilishaji wa kuanzisha Benki ya Taifa ya Ushirika kwa kuhamasisha

John Bukuku By John Bukuku