Ad imageAd image

Latest news

TANROADS RUVUMA YAPOKEWA SHILINGI BILIONI 2.5 KUFANYA MATENGENEZO YA BARABARA ZILIZOHARIBIKA NA MVUA

Mafundi wa kampuni ya Ovans Constructions Ltd wakiendelea na ukarabati wa miundombinu katika daraja la Namiungo wilayani Tunduru lililoharibika baada ya kingo za daraja hilo kusombwa na maji ya mvua za masika mwezi Machi mwaka huu. Mhandisi wa kampuni ya Ovans Constructions Ltd Azimio Mwapongo kulia,akimsikiliza Meneja wa TANROADS Mkoani Ruvuma Mhandisi Saleh Juma aliyefika katika daraja la Namiungo kwa ajili ya kukagua kazi ya ukarabati wa daraja hilo ambalo  kingo zake ziliharibika  baada ya kusombwa na maji. Meneja wa TANROADS Mkoani Ruvuma Mhandisi Saleh Juma,akikagua kazi ya ukarabati wa miundombinu ya daraja la Namiungo wilayani Tunduru lililoathirika na mvua za masika baada ya maji kusomba upande mmoja wa daraja hilo,kulia ni mkuu wa kitengo cha mipango TANROADS  Mhandisi Rubara Marando na katikati Mhandisi wa kampuni ya Ovans Constructions Ltd inayofanya ukarabati huo Azimio Mwapongo. Na Mwandishi wetu, Tunduru WAKALA wa barabara (TANROADS)Mkoa wa Ruvuma,umepokea Sh.bilioni 2.5 kati ya Sh.bilioni 6 ilizoomba ili kurejesha miundombinu ya barabara zilizoharibiwa na mvua za masika katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo. Hayo yamesemwa jana na Meneja wa TANROADS Mkoa wa Ruvuma Saleh Juma,baada ya kukagua

John Bukuku By John Bukuku

BASHUNGWA AWABANA WATAALAM NA MKANDARASI SITE, “NAWEZA KUFUKUZA TIMU YOTE”

Mkurugenzi wa Matengenezo kutoka Wakala ya Barabara (TANROADS), Dkt. Christina Kayoza akitoa taaarifa kwa Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa kuhusu hatua zilizofikiwa za urejeshaji wa miundombinu ya barabara kuu ya Lindi – Dar es Salaam eneo la Somanga ambalo lilikatika kutokana na mvua zilizonyesha na kuambatana na Kimbunga Hidaya Mkoani Lindi. Kulia ni Meneja wa TANROADS Mkoa wa Pwani, Eng.

John Bukuku By John Bukuku

DKT. YONAZ APOKEA MSAADA WA MILIONI 13.7 KUTOKA JUKWAA LA VIONGOZI TANZANIA KWA AJILI YA WAATHIRIKA WA HANANG’

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera Bunge na Uratibu,Dkt Jim Yinazi(kushoto) akipokea msaada wa 13.7m/- kutoka kwa Mratibu Mkuu wa Kundi la Viongozi Tanzania Benjamin Thompson(kulia) kwa ajili ya waathirika wa mafuriko ya Hanang,huku mmoja wa Wanachama wa kundi hilo Mhandisi Archard Kato(katikati) akishuhudia.  Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera Bunge na Uratibu,Dkt Jim Yinazi(wa tatu kushoto) akitoa mkono wa

John Bukuku By John Bukuku

WIZARA YA ELIMU YAOMBA TRILIONI 1.9 KUTEKELEZA VIPAUMBELE VITANO

Waziri WA Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda,akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25 Leo Mei 7,2024 jijini Dodoma. Na.Alex Sonna_DODOMA WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amepanga kutumia Sh.Trilioni 1.96 kwa mwaka 2024/25 ili kutekeleza vipaumbele vitano vyenye lengo la kuongeza ubora wa elimu kwa kuwezesha vijana wa Kitanzania kupata maarifa, ujuzi, kujiamini, kujiajiri

Alex Sonna By Alex Sonna

SERIKALI YAIPA TANROADS BIL 6.5 KUKABILIANA NA ATHARI ZA MVUA ZA EL-NINO MKOANI RUKWA

Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka kiasi cha shilingi bilioni 6.5 kwa ajili ya matengenezo ya dharura ya kurejesha miundombinu ya barabara na madaraja ambayo yameharika kutokana na mvua kubwa za El-nino zilizonyesha kwa wingi Mkoani Rukwa. Meneja wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Rukwa Mhandisi Mgeni Mwanga amempongeza Mhe.

Alex Sonna By Alex Sonna

LIONS CLUB TANZANIA YATOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mkoani Pwani Meja Edward Gowele amewataka watu wote wanaoishi mabondeni na kwenye maeneo yaliyozingirwa na Maji kuondoka na kuhamia kwenye maeneo yaliyotengwa na Serikali. Akizungumza  wakati wa kupokea misaada mbalimbali yenye thamani ya zaidi ya milioni 25 kutoka Chama cha Lions Club Tanzania Kwa ajili ya waathirika wa mafuriko Wilaya ya Rufiji Meja Gowele amesema

John Bukuku By John Bukuku

BAJETI YA MATENGENEZO NA UKARABATI WA BARABARA NA MADARAJA DODOMA YAONGEZEKA

Meneja wa TARURA mkoa wa Dodoma Mhandisi Edward Lemelo akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma ambapo amesema malengo yao ni kufikia 85% ya barabara ziwe zinapatikana mwaka mzima ifikapo mwaka 2025/2026 Meneja wa TARURA wilaya ya Mpwapwa Mhandisi Emmanuel Lukumay ameeleza kwamba katika wilaya yake ndani ya miaka mitatu wameweza kujenga barabara za

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

SERIKALI YAUNDA KAMATI YA UCHAMBUZI VIWANGO VYA PENSHENI

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Taska Restituta Mbogo, aliyetaka kufahamu lini Serikali itawaongezea pesheni wastaafu wanaolipwa shilingi 100,000 kwa mwezi

John Bukuku By John Bukuku

SERIKALI KUWAKOPESHA MAJASIRIAMALI 18.5 BILIONI KUPITIA NMB

Na Mwandishi Wetu Serikali imetenga kiasi cha TZS bilioni 18.5 kwa ajili ya kuwawezesha wajasiriamali nchini zitakazotolewa kama mikopo yenye masharti nafuu kupitia Benki ya NMB. Makubaliano ya utaratibu wa

John Bukuku By John Bukuku