Ad imageAd image

Latest news

DKT. PINDI CHANA: MAWAZIRI WA MASUALA YA SHERIA KUTOKA NCHI WANACHAMA WA (EAC) KUJADILI MAREKEBISHO YA SHERIA

Waziri wa Katiba na Sheria Balozi Dkt. Pindi Chana leo, Alhamisi Mei 02.2024 ametembelea makao makuu ya Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyopo jijini Arusha, ambapo akiwa hapo amepokelewa na Rais wa Mahakama hiyo Jaji Nesto Kayobera Akizungumza kwenye viunga vya Mahakama hiyo Balozi Dkt. Pindi Chana amesema katika mazungumzo yao wawili hao wamekubaliana kushirikiana kwenye nyanja mbalimbali ikiwemo

John Bukuku By John Bukuku

MWANAFUNZI CHUO CHA SAUTI AFARIKI AKIOGELEA

Aliyekuwa  Mwanafunzi wa Chuo Cha Mtakatifu Augustino (SAUT) Kampasi ya Mwanza Boaz Sanga  Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mwanza Mrakibu Kamila Labani  Kikosi cha uokoaji kutoka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mwanza wakiwa ndani ya ziwa Victoria kwaajili ya kuutafuta mwili wa aliyekuwa Mwanafunzi wa Chuo Cha Mtakatifu Augustino (SAUT) Kampasi ya Mwanza Boaz

John Bukuku By John Bukuku

MIAKA MIWILI YA ROYAL TOUR: MAPATO, WATALII VYAPAA MLIMA KILIMANJARO

Ikiwa ni miaka miwili sasa ya filamu ya Royal Tour leo Mei 2, 2024 Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi ameshiriki mahojiano maalum kupitia kipindi cha JANA na LEO kinachoruka kupitia Radio ya Wasafi Fm “live” kutoka katika Geti la Marangu, Mlima Kilimanjaro. Geti hilo ni mojawapo ya maeneo alikofika Rais wa Jamhuri ya Muungano wa

John Bukuku By John Bukuku

BALOZI MBAROUK AFUNGUA MKUTANO WA NNE WA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA WIZARA

Naibu Waziri wa Mambo na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb) akifungua Mkutano wa Nne wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara lililofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) tarehe 02 Mei, 2024 ................ Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes;

Alex Sonna By Alex Sonna

EWURA YAENDESHA MAFUNZO YA HUDUMA ZA NISHATI NA MAJI KWA WAANDISHI WA HABARI SHINYANGA

Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Magharibi Mhandisi Walter Christopher akizungumza wakati wa mafunzo kwa waandishi wa habari Mkoa wa Shinyanga yaliyoandaliwa na EWURA kwa kushirikiana na Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga ..... Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Magharibi imetoa mafunzo kwa

Alex Sonna By Alex Sonna

WAGONJWA WAPYA WA SARATANI 40 ELFU HUGUNDULIKA KILA MWAKA, VIFO 27 ELFU

Na WAF - Dar Es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimy amebainisha kuwa takribani wagonjwa wapya wa Saratani 40,000 hugunduliwa kila mwaka na karibu jumla ya watu 27,000 wenye Saratani hufariki dunia nchini Tanzania. Waziri Ummy amesema hayo leo Mei 2, 2024 kwenye uzinduzi wa jengo la huduma za Saratani lililopo Hospitali ya Aga Khan iliyozinguliwa na Naibu Waziri

John Bukuku By John Bukuku

SERIKALI KUENDELEA KUBORESHA MIUNDO MBINU YA ELIMU.

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainabu Katimba (Mb) amsema serikali inatambua umhimu na itaendelea kuboresha miundombinu ya Elimu ikiwemo Mabweni ya Wanafunzi, Uzio, Majengo ya Utawala na Mabwalo kupitia Miradi mbalimbali. Mhe. Katimba amesema hayo Bungeni Jijini Dodoma katika kipindi cha Maswali na Majibu, wakati akijibu Swali la

John Bukuku By John Bukuku

WAFANYABIASHARA WAPEWA SIKU NNE KULIPA KODI 

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza,Wakili Kihomoni Kibamba akionesha nyaraka mbalimbali zenye orodha ya majina ya wafanyabiashara pamoja na makampuni ya maegesho ambao hawalipa kodi  Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza Kihomoni Kibamba akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)  ........ Na Hellen Mtereko, Mwanza  Halmashauri ya Jiji la Mwanza imetoa siku nne kuanzia Mei 2 hadi Mei

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

NMB YANG’ARA MAONESHO YA (OSHA) ARUSHA

Benki ya NMB imebeba tuzo ya kampuni bora kwenye sekta ya fedha na bima kama mshindi wa pili (first runner up) katika tuzo zilizotolewa na Wakala wa Usalama na Afya

John Bukuku By John Bukuku

BENKI YA TAIFA YA USHIRIKA MKOMBOZI WA VYAMA VYA USHIRIKA

Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe (Mb), amesema wizara yake kupitia Tume ya Maendeleo ya Ushirika katika mwaka 2024/2025 itaratibu ukamilishaji wa kuanzisha Benki ya Taifa ya Ushirika kwa kuhamasisha

John Bukuku By John Bukuku