Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

SERIKALI YATOA BIL 1.5 UREJESHAJI MIUNDOMBINU YA BARABARA MWANZA

Serikali imetoa shilingi Bilioni 1.5 kwa ajili ya kuanza urejeshaji wa miundombinu ya barabara zilizoharibika maeneo mbalimbali Mkoani Mwanza. Fedha hizo zimetolewa na serikali kwenda Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Mwanza ili kuanza haraka kazi ya marekebisho miundombinu ya barabara na madaraja ambayo yameharibika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha Meneja wa TANROADS Mkoa Wa Mwanza Mhandisi Paschal Ambrose

Alex Sonna By Alex Sonna

MATUMIZI YA TEKNOLOJIA ZA KISASA KUDHIBITI MAJANGA YA MIGODI YA BARRICK NCHINI YAPONGEZWA NA SERIKALI NA WANANCHI KATIKA MAONESHO YA OSHA

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda katika Banda la Barrick   ******   Viongozi mbalimbali wa Serikali na Wananchi wamepongeza kazi kubwa na nzuri inayofanywa na migodi wa dhahabu wa Barrick Bulyanhulu,North Mara na Buzwagi kwa kutumia vifaa vya teknolojia ya kisasa kudhibiti majanga sambamba na kufikisha elimu ya Afya na Usalama kwa wananchi.  

Alex Sonna By Alex Sonna

SERIKALI YATENGA BILIONI 100 UJENZI WA VYUO VYA VETA

Na Sophia Kingimali. SERIKALI imetenga shilingi bilioni 100 kwa ajili ya kujenga vyuo vya VETA katika Halmashauri 63 kwenye mikoa isiyokuwa na vyuo hivyo kwa ajili ya kutoa fursa kwa vijana kupata elimu ya ufundi ili kujiweka kwenye mazingira mazuri ya kutengeneza ajira ya kujiajili ama kuajiliwa. Hayo yamesemwa Aprili 27, 2024 jijini Dar es Salaam na Makamu Mwenyekiti wa

John Bukuku By John Bukuku

TIC IMEKUWA INJINI KUTEKELEZA MAONO YA RAIS DKT. SAMIA – MAJALIWA.

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameupongeza uongozi na wafanyakazi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa kuwa injini ya kutekeleza maono ya Rais wa Jamhuri ya Muuumgano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kujenga Tanzania yenye mvuto kwa wawekezaji wote. "Hatua ambayo nchi yetu imefikia kwa sasa, inaondoa shaka kwa wawekezaji na imeendelea kuthibitisha kuwa nchi yetu ni salama kwa

John Bukuku By John Bukuku

RAIS SAMIA AWASILI NAIROBI KENYA KUSHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA WA IDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta Jijini Nairobi nchini Kenya tarehe 28 Aprili, 2024. Rais Samia anatarajia kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya Nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko

John Bukuku By John Bukuku

DKT. BITEKO ATEMBELEA BANDA LA NSSF MAONESHO YA OSHA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Dotto Biteko (wapili kulia), akimsikiliza Meneja Uhusiano na Elimu kwa Wanachama, Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Lulu Mengele alipotembelea banda la Mfuko huo, kwenye Maonesho ya Afya na Usalama Mahali pa Kazi (OSHA), katika uwanja wa General Tyre, Njiro jijini Arusha, Aprili 28, 2024. NSSF, inashiriki katika maonesho

John Bukuku By John Bukuku

KOCHA BENCHIKA OUT SIMBA SC

Wekundu wa Msimbazi Simba SC imetangaza rasmi kuachana na Kocha wake Mualgeria Abdelhak Benchikha baada ya miezi mitano tu tangu ajiunge na wekundu hao wa Msimbazi. Simba inaachana na Benchika siku moja tu tangu Mualgeria huyo aiwezeshe kutwaa Kombe la Muungano kwa ushindi wa 1-0 dhidi ya Azam FC jana usiku Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzíbar. Benchikha aliwasili mwishoni

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

TIC IMEKUWA INJINI KUTEKELEZA MAONO YA RAIS DKT. SAMIA – MAJALIWA.

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameupongeza uongozi na wafanyakazi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa kuwa injini ya kutekeleza maono ya Rais wa Jamhuri ya Muuumgano wa Tanzania Dkt. Samia

John Bukuku By John Bukuku

DKT. NCHEMBA ASHIRIKI MKUTANO WA IDA21 JIJINI NAIROBI-KENYA

Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (MB), akipokelewa na Waziri wa Fedha wa Kenya Prof. Njuguna Ndung’u, alipowasili kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za

John Bukuku By John Bukuku