Ad imageAd image

Latest news

VIONGOZI WAKUTANA MAANDALIZI YA CHAN 2024 NA AFCON 2027

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt.Damas Ndumbaro ameongoza kikao cha kujadili maandalizi ya Fainali za Mashindano ya CHAN mwaka 2024 na AFCON 2027 yatakayofanyika nchini Tanzania kwa kushirikiana na Kenya na Uganda kilichofanyika Mei 6, 2024 Jijini Dodoma. Kikao hicho kimejadili ukarabati wa miundombinu ambayo itatumika katika mashindano hayo iliyopo Tanzania Bara na Zanzibar kwa kuzingatia mapendekezo yaliyotolewa

John Bukuku By John Bukuku

RTO SONGWE AZINDUA TAWI LA YANGA CHIMBUYA

Katika muendeleza wa kuyafikia makundi mbalimbali ya jamii kwa lengo la kuijengea jamii uelewa kuhusu madhara ya ukatili wa kijinsia, uhalifu na kutokufuata sheria za usalama barabarani Mkuu wa Usalama Barabarani Mkoa wa Songwe Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Charles Bukombe amewataka mashabiki na wapenzi wa mpira wa miguu wa timu za Simba na Yanga kufuata sheria za usalama barabarani

John Bukuku By John Bukuku

WAUZA MLIMA MILLIONI 20 KILOSA, SHAKA AWA “MBOGO”

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi wilayani kilosa limewatia mbaroni watu wawili akiwemo Mwenyekiti wa Kitongoji cha Msowero A, Petro Sanga (Paroko) mwenzake, Awadh Ngajime kwa tuhuma za kuuza eneo la mlima, mali ya kijiji cha Msowero wilayni Kilosa. Pia, inaendelea kuwatafuta watu wengine 48 ambao wanaosadikiwa kuwa sehemu ya mtandao uliohusika kuuza kinyume na utaratibu jumla ya ekari 1158

John Bukuku By John Bukuku

BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR WAFANYA ZIARA EWURA

  Kamati ya Baraza la Wawakilishi ya Mawasiliano, Ardhi na Nishati Zanzibar, imefanya ziara kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ili kupata uzoefu wa shughuli za udhibiti leo tar. 6 Mei 2024. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Yahaya Rashid Abdala, ameishukuru EWURA kwa kuwakaribisha vizuri na kueleza imani yake kuwa watajifunza masuala mengi muhimu kuhusu

Alex Sonna By Alex Sonna

WATAALAMU WA VINASABA TUMIENI TEKNOLOJIA,WELEDI UWE KIPAUMBELE KWENYE MAJUKUMU YENU: DKT. JINGU

Na.Mwandishi wetu_Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. John Jingu, ametoa rai kwa kamati ya kitaalamu wanaofanya uchunguzi wa Vinasaba vya Binadamu kuzingatia matumizi ya teknolojia huku wakizingatia weledi na kufuata maadili ya kazi ili kuepuka madhara au migogoro inayoweza kujitokeza. Dkt. Jingu amesema hayo leo 6 Mei, 2024 jijini Dodoma wakati akizindua Kamati ya kitaalamu ya Vinasaba vya

Alex Sonna By Alex Sonna

KATIBU MKUU KIONGOZI WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR AZINDUA MTANDAO WA TPSHRMNET. 

Katibu Mkuu kiongozi wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar, Zena Said akizungumza katika mkutano huo jijini Arusha leo.  Rais wa Mtandao huo nchini Tanzania , Xavier Daudi akizungumza katika mkutano huo jijini Arusha leo. Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakiwafuatilia mada mbalimbali mkoani Arusha . ...........................  Happy Lazaro,Arusha. Arusha. Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi  Zanzibar, Mhandisi Zena

John Bukuku By John Bukuku

BENKI YA ABSA YAAHIDI KUENDELEZA UDHAMINI WA DAR CITY MARATHON

Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Absa Tanzania, Bwana Aron Luhanga (kushoto), akikabidhi zawadi kwa mshindi wa kwanza wa mbio za nusu marathon (Km 21) za Absa Dar City Marathon kwa upande wa wanaume, Dickson Paul kutoka Mwanza, mara baada ya kumalizika kwa mbio hizo jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

SERIKALI KUWAKOPESHA MAJASIRIAMALI 18.5 BILIONI KUPITIA NMB

Na Mwandishi Wetu Serikali imetenga kiasi cha TZS bilioni 18.5 kwa ajili ya kuwawezesha wajasiriamali nchini zitakazotolewa kama mikopo yenye masharti nafuu kupitia Benki ya NMB. Makubaliano ya utaratibu wa

John Bukuku By John Bukuku

EXIM BANK YAENDELEZA MALIPO YA KIDIJITALI KWA KUSHIRIKIANA NA CHEF’S PRIDE DODOMA

Mkuu wa Idara ya Huduma za Kadi na  Malipo wa Exim Bank, Paritosh Babla (kulia), na Mkurugenzi Mtendaji wa Mgahawa wa Chef's Pride, Salim Mahsen Al Amry, wakisaini makubaliano ya

John Bukuku By John Bukuku