Mratibu wa Mpango wa kuimarisha familia kutoka Shirika la SOS CHILDREN'S VILLAGES Elizabeth Swai akizungumza kwenye hafla ya ufunguzi wa jengo la Dawati la Jinsia na Watoto Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza Muonekano wa Jengo la Dawati la Jinsia na Watoto Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza lililogharimu milioni 66 huku Shirika la SOS CHILDREN'S VILLAGES likiwa limechangia milioni 58 Na…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu (kushoto) wakishiriki mazoezi viungo baada ya Waziri Mkuu kuongoza matembezi ya kuhamasisha ufanyaji wa mazoezi ili kujikinga na magonjwa yasiyo ambukiza, Mei 04, 2024. Watatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila na Wanne kushoto ni Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Kamishna…
Dar es Salaam, 04 Mei 2024 saa 12:00 Asubuhi: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “HIDAYA” kilichopo karibu na maeneo ya pwani ya nchi yetu. Hadi kufikia saa 9 usiku wa kuamkia leo, Kimbunga “HIDAYA” kilikuwa katika eneo la bahari takriban kilomita 125 kutoka pwani ya Kilwa (Mkoa wa Lindi), kilomita 93…
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa jimbo la Kavuu Mhe, Geophrey Pinda akimpongeza mkazi wa kijiji cha Luchima katika halmashauri ya Mpimbwe wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi Bw. Aseni Jandikile aliyetoa shilingi elfu tano kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dkt Samia Suluhu Hassan kutokana na juhudi zake za kuwaletea…
WAKAZI wa Kijiji cha Loiborsiret Wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wamewashukia Mwenyekiti wa kijiji hicho Kimaai Saruni na Mwenyekiti wa CCM wa kata hiyo Aloyce Teme kwa kukacha mkutano wa Diwani wa kata ya Loiborsiret, Ezekiel Lesenga (Maridadi). Wananchi hao wamedai kuwa viongozi hao wamegoma kushiriki mkutano wa Diwani wao wa kusoma taarifa ya utekelezaji wa ilani ya CCM kwa kuhofia…
Mbunge wa jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe, Geophrey Pinda akisisitiza jambo wakati wa kikao cha Maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Makao Makuu na Wafanyabiashara wa eneo la Majimoto katika halmashauri ya Mpimbwe wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi tarehe 3 Mei 2024 Mkuu wa Wilaya ya Mlele Alhaji Majid…
Balozi wa bidhaa za taulo za kike za (Baby Cheeky Diaper) mwigizaji Elizabeth Michael maarufu "Lulu" akionesha namna taulo za watoto za (Baby Cheeky Diaper) zinavyofanya kazi kwa kufyonza maji na mtoto kubaki mkavu kabisa. Balozi wa bidhaa za taulo za kike za (Baby Cheeky Diaper) mwigizaji Elizabeth Michael maarufu "Lulu" akionesha namna taulo za watoto za (Baby Cheeky Diaper)…
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Tulia Ackson,anaamua kuwapeleka kwenye darasa jjipya kabisa wanahabari, huku akiwaasa kutulia,kujitafakari na kuongeza umakini katika kazi zao. Anasema pasipo kufanya hivyo,itakuwa vigumu kwao kukabiliana(isomeke kutoboa) na changamoto za kiteknolojia ikiwemo ujio wa akili mnemba(artificial intelligence). Mhadhiri huyo Mwandamizi wa Sheria wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ambaye sasa ni…
Confirmed
0
Death
0
Benki ya NMB imezindua akaunti ya kikundi, inayokuja na maboresho makubwa kwa wanakikundi wote kufurahia huduma kidijitali. Kupitia akaunti hii, wanakikundi wataweza kutumia NMB Mkononi : ➡️ Kufungua akaunti kiurahisi…
Benki ya NMB imebeba tuzo ya kampuni bora kwenye sekta ya fedha na bima kama mshindi wa pili (first runner up) katika tuzo zilizotolewa na Wakala wa Usalama na Afya…
Sign in to your account