Ad imageAd image

Latest news

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA UJUMBE WA KAMPUNI YA WAPCOS IKULU ZAN ZIBAR LEO MEI 7,2024.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya WAPCOS ya Nchini India Bw.Rajni Kant Agrawal, alipofika Ikulu Jijini Zanbzibar na ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-5-2024.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa

John Bukuku By John Bukuku

JESHI LA POLISI LAHIMIZA USHIRIKIANO NA WAFANYABIASHARA KATIKA KUZUIA UHALIFU.

Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Mwanjelwa Jijini Mbeya wametakiwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kuzuia, kudhibiti na kutokomeza uhalifu katika Jiji hilo. Rai hiyo imetolewa na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Abdi Issango Mei 07, 2024 wakati akizungumza kwenye kikao na viongozi na wafanyabiashara wa Soko Kuu la Mwanjelwa. Kamanda Issango amesema

John Bukuku By John Bukuku

DC KATWALE AWATAKA WATOA HUDUMA KWENYE MABASI KUZINGATIA UBORA NA USALAMA

Na  Lucas Raphael,Tabora Mkuu wa wilaya ya Tabora  Deusdedith Katwale amewataka watoa huduma kwenye Mabasi kuzingatia Sheria kanuni na  taratibu za usafirishaji wa Abiria Ili kutoa huduma Bora Kwa wasafiri. Kauli hiyo ilitolewa wakati akifungua  mafunzo kwa wahudumu wa mabasi ya masafa marefu  na mjijni katika kanda ya magharibi iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mtemi Isike Mwanakiyungi  mkoani Tabora.

John Bukuku By John Bukuku

MWENGE WA UHURU KUPITIA MIRADI 17 YA BILIONI 2.866 WILAYANI MAFIA

Na Mwamvua Mwinyi, Mafia Mei 7, 2024. KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa (2024) Godfrey Mzava ,ametoa wito kwa Jeshi la Polisi Mkoani Pwani ,kuongeza nguvu ya doria kwenye bandari bubu zilizopo kwenye fukwe ya Bahari ya Hindi katika ukanda huo ili kudhibiti uingizaji na usafirishaji wa madawa ya kulevya. Alitoa wito huo wilayani Mafia, wakati akitoa ujumbe

John Bukuku By John Bukuku

MKAKATI WA TAIFA WA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA UTAPUNGUZA UKATAJI MITI

Serikali imesema Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati safi ya Kupikia wa Mwaka 2024 2034 kwa kiasi kikubwa utasaidia kupungua kwa vitendo vya ukataji wa miti kwa kupunguza matumizi ya nishati itokanayo na misitu. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis ameliarifu Bunge wakati akijibu swali la Mbunge wa Buhigwe Mhe. Kavejuru

John Bukuku By John Bukuku

WAZIRI MKUU NA MATUKIO BUNGENI LEO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa, Mei 07, 2024, Bungeni jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri wa Nchi-Ofisi ya Rais Menejent ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora George Simbachawene na Waziri wa Habari, Mawasiliano

John Bukuku By John Bukuku

POLISI YAWASHUKURU WANANCHI WALIOFANYA MABORESHO UJENZI WA KITUO CHA POLISI.

Na. Mwandishi, Jeshi la Polisi Arusha. Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema litaendelea kuwashukuru wananchi wanaoendelea kushiriki katika jitihada za Serikali katika kuboresha mazingira bora na yakisasa katika vituo vya Polisi Mkoani humo huku likibainisha kuwa litaendelea kutoa huduma bora na za kisasa kwa wananchi Hayo yamebainishwa Leo na Mkuu wa Polisi Jamii Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa

John Bukuku By John Bukuku

KATIBU MKUU MAGANGA AIPONGEZA WCF KWA UTENDAJI UNAOFUATA VIWANGO VYA KIMATAIFA

Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Bi. Mary Maganga akizungumza na menejimenti ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Jijini Dodoma wakati wa ziara ya kikazi ya kutembelea Taasisi zilizopo  chini ya Ofisi hiyo. Menejimenti ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) na baadhi ya Watendaji kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu wakimsikiliza Katibu Mkuu,

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

SERIKALI KUWAKOPESHA MAJASIRIAMALI 18.5 BILIONI KUPITIA NMB

Na Mwandishi Wetu Serikali imetenga kiasi cha TZS bilioni 18.5 kwa ajili ya kuwawezesha wajasiriamali nchini zitakazotolewa kama mikopo yenye masharti nafuu kupitia Benki ya NMB. Makubaliano ya utaratibu wa

John Bukuku By John Bukuku

EXIM BANK YAENDELEZA MALIPO YA KIDIJITALI KWA KUSHIRIKIANA NA CHEF’S PRIDE DODOMA

Mkuu wa Idara ya Huduma za Kadi na  Malipo wa Exim Bank, Paritosh Babla (kulia), na Mkurugenzi Mtendaji wa Mgahawa wa Chef's Pride, Salim Mahsen Al Amry, wakisaini makubaliano ya

John Bukuku By John Bukuku