Ad imageAd image

Latest news

UBALOZI WA USWISS NA AMEND WAKAMILISHA MAFUNZO YA USALAMA BARABARANI KWA WAENDESHA BODABODA DODOMA

Naibu Meya wa Jiji la Dodoma Asma Karama alikabidhi cheti kwa mmoja wa madereva bodaboda wa Jiji la Dodoma baada ya kupatiwa mafunzo ya elimu ya Usalama barabarani yaliyotolewa na Amend kwa kushirikiana na Ubalozi wa Uswisi ..................... Na Mwandishi Wetu,Dodoma UBALOZI wa Uswisi kwa kushirikiana na shirika la Amend wamekamiliaha awamu ya pili ya mafunzo ya usalama barabarani kwa

John Bukuku By John Bukuku

ACP DELELI AWATAKA MADEREVA BAJAJI NA PIKIPIKI KUJIFUNZA ELIMU YA USALAMA BABARARANI

..................... Na Mwandishi wetu Mkuu wa Kitengo cha Elimu ya Usalama barabarani nchini Tanzania, Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi, ACP Michael Deleli amemtaka Mkuu wa Usalama barabarani wa mkoa wa Dodoma kutoa mafunzo ya Elimu ya usalama barabarani ya mara kwa mara kwa waendesha Bajaji na pikipiki ili wapate Elimu itakayowafanya wawe na uelewa wa kufanana katika matumizi salama

John Bukuku By John Bukuku

NDOA NI TAMU PALE UNAPOPATA MKE AU MUME MNAYEPENDANA

Ndoa ni jambo ambalo kila mwanadamu aliyekamilika,mwanaume kwa mwanamke kulifikia siku moja katika maisha yao waweze kufunga ndoa tena hasa na watu wanaowapenda kuwa nao katika maisha yao ya kila siku. Ndivyo ilivyokuwa hata kwangu mimi nilifanikiwa kufunga ndoa na mtu nimpendae kwa dhati, kwa majina naitwa mangula nilikuwa nimefunga ndoa na mke wangu aitwaye jesca godwin tangu mwaka 2019

John Bukuku By John Bukuku

VIONGOZI WAKUTANA MAANDALIZI YA CHAN 2024 NA AFCON 2027

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt.Damas Ndumbaro ameongoza kikao cha kujadili maandalizi ya Fainali za Mashindano ya CHAN mwaka 2024 na AFCON 2027 yatakayofanyika nchini Tanzania kwa kushirikiana na Kenya na Uganda kilichofanyika Mei 6, 2024 Jijini Dodoma. Kikao hicho kimejadili ukarabati wa miundombinu ambayo itatumika katika mashindano hayo iliyopo Tanzania Bara na Zanzibar kwa kuzingatia mapendekezo yaliyotolewa

John Bukuku By John Bukuku

RTO SONGWE AZINDUA TAWI LA YANGA CHIMBUYA

Katika muendeleza wa kuyafikia makundi mbalimbali ya jamii kwa lengo la kuijengea jamii uelewa kuhusu madhara ya ukatili wa kijinsia, uhalifu na kutokufuata sheria za usalama barabarani Mkuu wa Usalama Barabarani Mkoa wa Songwe Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Charles Bukombe amewataka mashabiki na wapenzi wa mpira wa miguu wa timu za Simba na Yanga kufuata sheria za usalama barabarani

John Bukuku By John Bukuku

WAUZA MLIMA MILLIONI 20 KILOSA, SHAKA AWA “MBOGO”

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi wilayani kilosa limewatia mbaroni watu wawili akiwemo Mwenyekiti wa Kitongoji cha Msowero A, Petro Sanga (Paroko) mwenzake, Awadh Ngajime kwa tuhuma za kuuza eneo la mlima, mali ya kijiji cha Msowero wilayni Kilosa. Pia, inaendelea kuwatafuta watu wengine 48 ambao wanaosadikiwa kuwa sehemu ya mtandao uliohusika kuuza kinyume na utaratibu jumla ya ekari 1158

John Bukuku By John Bukuku

BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR WAFANYA ZIARA EWURA

  Kamati ya Baraza la Wawakilishi ya Mawasiliano, Ardhi na Nishati Zanzibar, imefanya ziara kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ili kupata uzoefu wa shughuli za udhibiti leo tar. 6 Mei 2024. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Yahaya Rashid Abdala, ameishukuru EWURA kwa kuwakaribisha vizuri na kueleza imani yake kuwa watajifunza masuala mengi muhimu kuhusu

Alex Sonna By Alex Sonna
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

SERIKALI KUWAKOPESHA MAJASIRIAMALI 18.5 BILIONI KUPITIA NMB

Na Mwandishi Wetu Serikali imetenga kiasi cha TZS bilioni 18.5 kwa ajili ya kuwawezesha wajasiriamali nchini zitakazotolewa kama mikopo yenye masharti nafuu kupitia Benki ya NMB. Makubaliano ya utaratibu wa

John Bukuku By John Bukuku

EXIM BANK YAENDELEZA MALIPO YA KIDIJITALI KWA KUSHIRIKIANA NA CHEF’S PRIDE DODOMA

Mkuu wa Idara ya Huduma za Kadi na  Malipo wa Exim Bank, Paritosh Babla (kulia), na Mkurugenzi Mtendaji wa Mgahawa wa Chef's Pride, Salim Mahsen Al Amry, wakisaini makubaliano ya

John Bukuku By John Bukuku