Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

RAIS DK.MWINYI AWAKABIDHI SIMBA UBINGWA WA MUUNGANO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amewakabidhi timu ya Simba shilingi milioni 50 ambayo ni zawadi ya ubingwa wa Kombe la Muungano kwa mwaka huu katika uwanja wa New Amaan Complex tarehe 27 Aprili 2024. Timu ya Simba imeifunga goli moja kwa sifuri timu ya Azam. Aidha Mashindano hayo yamerejea tena nchini ikiwa ni

John Bukuku By John Bukuku

RC KUNENGE- APIGILIA MSUMALI SAKATA LA WEMBE NA DKT KAWAMBWA

Na Mwamvua Mwinyi, Pwani MKUU wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge amelitaka jeshi la Polisi , kumchukulia hatua za kisheria Hassan Usinga "Wembe" kwa tuhuma za kumdhalilisha aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo na Waziri wa Miundombinu Dk Shukuru Kawambwa ,na kusababisha taharuki kubwa. Kunenge ameyasema hayo wakati wa kikao baina ya Dk Kawambwa na Wembe na baadhi ya

John Bukuku By John Bukuku

RAIS DKT. MOHAMUD: SOMALIA KUSHIRIKIANA NA MSD UNUNUZI BIDHAA ZA AFYA

Rais wa Somalia Mheshimiwa Hassan Sheikh Mohamud amesema nchi yake imeamua kushirikiana kwa karibu na Bohari ya Dawa ya Tanzania katika ununuzi wa bidhaa za afya na kubadilishana uzoefu wa namna mnyororo wa ugavi wa bidhaa za afya unavyofanya kazi. Rais Mahamud ambaye yuko ziarani nchini Tanzania, ameyasema hayo alipoitembelea MSD, na kuongeza kuwa kutokana na uzoefu wa MSD, wana

John Bukuku By John Bukuku

WAMI RUVU HAWANA DENI LA RAIS SAMIA KATIKA KUTUNZA VYANZO VYA MAJI.

Bodi ya Maji Bonde la Wami Ruvu limeendelea kuchukua hatua stahiki katika kuhakikisha inatekeleza agizo la Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Philipo Isory Mpango la kupanda Miti 2,000,000 kwa Kila Mkoa ikiwa ni mkakati wa uhifadhi wa Mazingira na utunzaji wa vyanzo vya maji katika bwawa la Mindu. Akikagua eneo la Mradi wa Uhifadhi wa

John Bukuku By John Bukuku

RAIS WA SOMALIA MHE.HASSAN SHEIKH MOHAMUD AIPONGEZA JKCI

Rais wa Jamhuri ya Somalia Mhe. Hassan Sheikh Mohamud akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge wakati alipotembelea taasisi hiyo leo jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuona huduma za matibabu ya moyo zinazotolewa. Rais wa Jamhuri ya Somalia Mhe. Hassan Sheikh Mohamud akizungumza na viongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)

John Bukuku By John Bukuku

MAJENGO SHULE YA AWALI YA KIMATAIFA ISAMILO YAZINDULIWA,JAMIII YAOMBWA KUACHA UKATILI KWA WATOTO.

Katibu tawala Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza Mariam Msengi akizungumza kwenye hafla fupi ya ufunguzi wa majengo mapya ya shule ya awali ya Kimataifa ya Isamilo Muonekano wa Shule ya awali ya Kimataifa ya Isamilo inayotumia mtaala wa Cambridge iliyoko Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza  Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Kimataifa ya Isamilo iliyoko Wilaya ya Nyamagana

John Bukuku By John Bukuku

TARURA:PAIPU KALAVATI ZASAMBAZWA KURUDISHA MAWASILIANO BARABARA KILIMANJARO

Kilimanjaro Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) mkoa wa Kilimanjaro wamenunua na kusambaza paipu kalavati kwaajili ya kurudisha mawasiliano kwenye madaraja yaliyokatika wakati wa mafuriko kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha nchini. Meneja wa TARURA mkoa wa Kilimanjaro Mhandisi Nicholas Francis amesema tayari wamepokea fedha za dharura takriban milioni 477 kwaajili ya kununua vifaa vya kukabiliana na athari za mvua.

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara