Ad imageAd image

Latest news

BALOZI MBAROUK AFUNGUA MKUTANO WA NNE WA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA WIZARA

Naibu Waziri wa Mambo na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb) akifungua Mkutano wa Nne wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara lililofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) tarehe 02 Mei, 2024 ................ Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes;

Alex Sonna By Alex Sonna

EWURA YAENDESHA MAFUNZO YA HUDUMA ZA NISHATI NA MAJI KWA WAANDISHI WA HABARI SHINYANGA

Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Magharibi Mhandisi Walter Christopher akizungumza wakati wa mafunzo kwa waandishi wa habari Mkoa wa Shinyanga yaliyoandaliwa na EWURA kwa kushirikiana na Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga ..... Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Magharibi imetoa mafunzo kwa

Alex Sonna By Alex Sonna

WAGONJWA WAPYA WA SARATANI 40 ELFU HUGUNDULIKA KILA MWAKA, VIFO 27 ELFU

Na WAF - Dar Es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimy amebainisha kuwa takribani wagonjwa wapya wa Saratani 40,000 hugunduliwa kila mwaka na karibu jumla ya watu 27,000 wenye Saratani hufariki dunia nchini Tanzania. Waziri Ummy amesema hayo leo Mei 2, 2024 kwenye uzinduzi wa jengo la huduma za Saratani lililopo Hospitali ya Aga Khan iliyozinguliwa na Naibu Waziri

John Bukuku By John Bukuku

SERIKALI KUENDELEA KUBORESHA MIUNDO MBINU YA ELIMU.

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainabu Katimba (Mb) amsema serikali inatambua umhimu na itaendelea kuboresha miundombinu ya Elimu ikiwemo Mabweni ya Wanafunzi, Uzio, Majengo ya Utawala na Mabwalo kupitia Miradi mbalimbali. Mhe. Katimba amesema hayo Bungeni Jijini Dodoma katika kipindi cha Maswali na Majibu, wakati akijibu Swali la

John Bukuku By John Bukuku

WAFANYABIASHARA WAPEWA SIKU NNE KULIPA KODI 

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza,Wakili Kihomoni Kibamba akionesha nyaraka mbalimbali zenye orodha ya majina ya wafanyabiashara pamoja na makampuni ya maegesho ambao hawalipa kodi  Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza Kihomoni Kibamba akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)  ........ Na Hellen Mtereko, Mwanza  Halmashauri ya Jiji la Mwanza imetoa siku nne kuanzia Mei 2 hadi Mei

John Bukuku By John Bukuku

SERIKALI YATOA WITO KWA VIONGOZI WA DINI KUHAMASISHA KUTUNZA MAZINGIRA

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akihutubia wakati wa uzinduzi wa Jukwaa la Uwakili kuhusuutekelezaji wa mradi wa mazingira ambao unawahusisha viongozi mbalimbali wa dini wa Kanda ya Ziwa, uliofanyika mkoani Mwanza leo tarehe 02, 2024. Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akipanda mti wakati

John Bukuku By John Bukuku

DC NJOMBE KISSA GWAKISHA ATAKA MWAMKO KUONGEZEKA WA WATOTO WAKIKE UMRI MIAKA 9 HADI 14 KUJITOKEZA KUPATA CHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI

Serikali wilayani Njombe imekiri kukutana na wakati katika uetekelezaji wa kampuni ya chanjo ya saratani ya Mlango wa Kizazi kwa watoto wa kike wenye umri wa kuanzia miaka 9 hadi 14 ambapo inaelezwa baadhi ya wazazi na walezi walikuwa wakiwaficha watoto na wakidhani chanjo hiyo inaweza kuwasababishia madhara siku za mbeleni. Ikumbukwe kampani ilipangwa kufanyika kimkakati kwa kupiti mashuleni ili

John Bukuku By John Bukuku

SIMBACHAWENE ATOA NENO KWA WAKUU WA IDARA WANAOSIMAMIA UTAWALA NA RASILIMALI WATU .

Mwenyekiti wa AAPAM  Tanzania Chapter, Leila Mavika akizungumza kuhusiana na mkutano huo. Waziri wa nchi ofisi ya Rais menejiment ya utumishi na utawala bora,George Simbachawene akifungua mkutano huo  mkoani Arusha leo. Washiriki mbalimbali wa mkutano huo wakimsikiliza Waziri Simbachawene katika mkutano huo mkoani Arusha leo . ............. Happy Lazaro,Arusha . WAKUU wa idara wanaosimamia utawala na rasilimali watu katika utumishi

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

NMB YANG’ARA MAONESHO YA (OSHA) ARUSHA

Benki ya NMB imebeba tuzo ya kampuni bora kwenye sekta ya fedha na bima kama mshindi wa pili (first runner up) katika tuzo zilizotolewa na Wakala wa Usalama na Afya

John Bukuku By John Bukuku

BENKI YA TAIFA YA USHIRIKA MKOMBOZI WA VYAMA VYA USHIRIKA

Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe (Mb), amesema wizara yake kupitia Tume ya Maendeleo ya Ushirika katika mwaka 2024/2025 itaratibu ukamilishaji wa kuanzisha Benki ya Taifa ya Ushirika kwa kuhamasisha

John Bukuku By John Bukuku