Ad imageAd image

Latest news

DKT. YONAZ APOKEA MSAADA WA MILIONI 13.7 KUTOKA JUKWAA LA VIONGOZI TANZANIA KWA AJILI YA WAATHIRIKA WA HANANG’

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera Bunge na Uratibu,Dkt Jim Yinazi(kushoto) akipokea msaada wa 13.7m/- kutoka kwa Mratibu Mkuu wa Kundi la Viongozi Tanzania Benjamin Thompson(kulia) kwa ajili ya waathirika wa mafuriko ya Hanang,huku mmoja wa Wanachama wa kundi hilo Mhandisi Archard Kato(katikati) akishuhudia.  Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera Bunge na Uratibu,Dkt Jim Yinazi(wa tatu kushoto) akitoa mkono wa

John Bukuku By John Bukuku

WIZARA YA ELIMU YAOMBA TRILIONI 1.9 KUTEKELEZA VIPAUMBELE VITANO

Waziri WA Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda,akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25 Leo Mei 7,2024 jijini Dodoma. Na.Alex Sonna_DODOMA WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amepanga kutumia Sh.Trilioni 1.96 kwa mwaka 2024/25 ili kutekeleza vipaumbele vitano vyenye lengo la kuongeza ubora wa elimu kwa kuwezesha vijana wa Kitanzania kupata maarifa, ujuzi, kujiamini, kujiajiri

Alex Sonna By Alex Sonna

SERIKALI YAIPA TANROADS BIL 6.5 KUKABILIANA NA ATHARI ZA MVUA ZA EL-NINO MKOANI RUKWA

Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka kiasi cha shilingi bilioni 6.5 kwa ajili ya matengenezo ya dharura ya kurejesha miundombinu ya barabara na madaraja ambayo yameharika kutokana na mvua kubwa za El-nino zilizonyesha kwa wingi Mkoani Rukwa. Meneja wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Rukwa Mhandisi Mgeni Mwanga amempongeza Mhe.

Alex Sonna By Alex Sonna

LIONS CLUB TANZANIA YATOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mkoani Pwani Meja Edward Gowele amewataka watu wote wanaoishi mabondeni na kwenye maeneo yaliyozingirwa na Maji kuondoka na kuhamia kwenye maeneo yaliyotengwa na Serikali. Akizungumza  wakati wa kupokea misaada mbalimbali yenye thamani ya zaidi ya milioni 25 kutoka Chama cha Lions Club Tanzania Kwa ajili ya waathirika wa mafuriko Wilaya ya Rufiji Meja Gowele amesema

John Bukuku By John Bukuku

BAJETI YA MATENGENEZO NA UKARABATI WA BARABARA NA MADARAJA DODOMA YAONGEZEKA

Meneja wa TARURA mkoa wa Dodoma Mhandisi Edward Lemelo akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma ambapo amesema malengo yao ni kufikia 85% ya barabara ziwe zinapatikana mwaka mzima ifikapo mwaka 2025/2026 Meneja wa TARURA wilaya ya Mpwapwa Mhandisi Emmanuel Lukumay ameeleza kwamba katika wilaya yake ndani ya miaka mitatu wameweza kujenga barabara za

John Bukuku By John Bukuku

MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2024 KUPITIA MIRADI YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 479.6 DAR.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, leo Mei 7, 2024 amesema Mkoa huo unatarajia kupokea Mwenge wa Uhuru utakaowasili Mei 08, 2024 mkoani humo, utapitia miradi 39 yenye thamani ya zaidi ya Bilioni 479.6 huku ukikimbizwa kwa takribani kilomita 427.78. RC Chalamila ametoa kauli hiyo leo Mei 07, 2024 Jijini Dar es Salam, alipokuwa akielezea ujio wa

John Bukuku By John Bukuku

NGORIKA WAOMBA KIVUKO

Na Mwandishi wetu, Simanjiro Wakazi wa Kata ya Ngorika wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wamekumbwa na wakati mgumu baada ya kukumbwa na mafuriko yaliyotokana na mvua hivyo kuhitaji kivuko au daraja. Wakazi hao hasa wa kijiji cha Nyumba ya Mungu hivi sasa wanatumia mtumbwi kuvuka eneo moja kwenda jingine kutokana na maji ya mafuriko kuzunguka maeneo yao. Diwani wa Ngorika, Albert

John Bukuku By John Bukuku

TANZANIA NA CHINA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIMKAKATI

Serikali ya Tanzania na China zimesisitiza kuimarisha ushirikiano wa kimkakati ili kuendelea kutekeleza diplomasia ya uchumi kwa maslahi ya pande zote mbili.   Msisitizo huo umetolewa wakati Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.) alipokutana kwa mazungumzo na Balozi wa China nchini, Mhe. Chen Mingjian katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

SERIKALI YAUNDA KAMATI YA UCHAMBUZI VIWANGO VYA PENSHENI

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Taska Restituta Mbogo, aliyetaka kufahamu lini Serikali itawaongezea pesheni wastaafu wanaolipwa shilingi 100,000 kwa mwezi

John Bukuku By John Bukuku

SERIKALI KUWAKOPESHA MAJASIRIAMALI 18.5 BILIONI KUPITIA NMB

Na Mwandishi Wetu Serikali imetenga kiasi cha TZS bilioni 18.5 kwa ajili ya kuwawezesha wajasiriamali nchini zitakazotolewa kama mikopo yenye masharti nafuu kupitia Benki ya NMB. Makubaliano ya utaratibu wa

John Bukuku By John Bukuku