ZAIDI YA WANAWAKE 22 WAJITOKEZA KUGOMBEA UBUNGE VITI MAALUM RUVUMA
Katibu wa umoja wa wanawake(UWT)Mkoa wa Ruvuma Rukia Mkinda kushoto akikamkabidhi mjumbe wa kamati ya utendaji wa Chama cha Walimu(CWT)Taifa Mwalimu Sabina Lipukila kulia…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Katibu wa umoja wa wanawake(UWT)Mkoa wa Ruvuma Rukia Mkinda kushoto akikamkabidhi mjumbe wa kamati ya utendaji wa Chama cha Walimu(CWT)Taifa Mwalimu Sabina Lipukila kulia…
Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Singida mjini wakimpongeza Rehema James (katikati) baada ya kuchaguliwa na mkutano mkuu wa chama hicho kugombea…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary Majaliwa wakikaribishwa na Katibu wa CCM wa Wilaya ya Ruangwa, Barnabas Essau (kulia) wakati walipowasili kwenye Ofisi ya CCM…
Picha ikionyesha Katibu wa Chama Cha mapinduzi Wilaya ya Arumeru akimkabidhi fomu za kugombea nafasi ya udiwani wa viti maalum mwandishi wa habari Woinde…
………………………………………………….. NA Denis Mlowe,IRINGA Wanachama zaidi ya 250 wamejitokeza kuchukua fomu za kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika majimbo na kata za uchaguzi wilaya…
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro leo tarehe 15 Julai, 2020 amechukua fomu katika Ofisi…
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro (MUM), Shabiri Nuah Bigirwa kushoto akipokea fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Bukoba Mjini kutoka kwa Kaimu…
********************************* NA MWAMVUA MWINYI,PWANI MJUMBE wa halmashauri Kuu ya Taifa CCM (MNEC)Pwani, Hajji Jumaa ,amewataka wanachama wa CCM jimbo na udiwani wanaochukua fomu ,kujitathmini…
Bibi Cristine Kagemulo Rwezahula kushoto akipokea fomu ya kugombea ubunge jimbo la Bukoba mjini kutoka kwa Kaimu katibu wa Chama Cha Mapinduzi wilaya ya…
Katibu wa CCM Wilaya ya Manyoni Daflosa Lukasi akimkabidhi fomu ya kugombea ubunge jimbo la Manyoni Mashariki Masumbuko Mwaluko jana. Masumbuko Mwaluko akihesabu fedha…