
Picha ikionyesha Katibu wa Chama Cha mapinduzi Wilaya ya Arumeru akimkabidhi fomu za kugombea nafasi ya udiwani wa viti maalum mwandishi wa habari Woinde Shizza Jana katika ofisi za CCM Wilaya hiyo zilizopo Ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

Picha ikionyesha mfanyabiashara Maarufu jijini Arusha Philemon Mollel (monabani)akikabidhiwa fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Arusha mjini na katibu wa CCM Wilaya ya Arusha mjini Denis Mwita

Picha ikionyesha Balozi mstaafu Batilda Buriani akipokea fomu ya kugombea ubunge wa viti maalum kupitia Jimbo la Arusha mjini

Picha ikionyesha wakili msomi Albart Msando akichukuwa fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Arusha mjini asubuhii ya Leo kutoka kwa Katibu wa CCM Wilaya hiyo Denis Mwita
