Picha ikionyesha Katibu wa Chama Cha mapinduzi Wilaya ya Arumeru akimkabidhi fomu za kugombea nafasi ya udiwani wa viti maalum mwandishi wa habari Woinde Shizza Jana katika ofisi za CCM Wilaya hiyo zilizopo Ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Arusha 
Picha ikionyesha mfanyabiashara Maarufu jijini Arusha Philemon Mollel (monabani)akikabidhiwa fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Arusha mjini na katibu wa CCM Wilaya ya Arusha mjini Denis Mwita 
Picha ikionyesha Balozi mstaafu Batilda Buriani  akipokea fomu ya kugombea ubunge wa viti maalum kupitia Jimbo la Arusha mjini 
Picha ikionyesha wakili msomi Albart Msando akichukuwa fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Arusha mjini asubuhii ya Leo kutoka kwa Katibu wa CCM Wilaya hiyo Denis Mwita