NEC YAKANUSHA TAARIFA ZA WAGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI KUPITA BILA KUPINGWA
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk Wilson Charles,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika Ofisi za Tume zilizopo Njedengwa jijini…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk Wilson Charles,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika Ofisi za Tume zilizopo Njedengwa jijini…
……………………………………………………….. Na. Majid Abdulkarim Mgombea Urais Zanzibari kwa kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Mwinyi amesema kuwa akiwa kiongozi jambo la…
………………………………………………………… Na.Alex Sonna,Dodoma BAADA ya kupitishwa na Chama chao cha Mapinduzi (CCM) na kisha kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa leo wagombea wa Ubunge, Deo…
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso akiwa amebeba fomu za kuwania Ubunge Jimbo hilo akiwa njiani kuzirudisha ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi…
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiwasili katika Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa kwa ajili ya kurudisha fomu ya kuwania Ubunge wa…
Wagombea Ubunge wa Chama cha Mapinduzi Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina (kulia) na Leah Komanya Jimbo la Meatu (kushoto ) wakijaza fomu za…
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa akirejesha fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Karagwe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa Godwin…
*************************************** Tume ya uchaguzi (NEC) Jimbo la Ilemela imetangaza wagombea wa vyama vitano waliokidhi vigezo kuwania nafasi ya ubunge wa jimbo hilo baada…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, Frank Chonya ambaye ni Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo hilo, fomu…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akirudisha Fomu ya Kugombea nafasi…