Home Siasa BASHUNGWA AREJESHA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE KARAGWE

BASHUNGWA AREJESHA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE KARAGWE

0

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa akirejesha fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Karagwe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)   kwa Godwin M. Kitonka ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Karagwe, Agosti 25, 2020. (Picha na Eliud Rwechungura)

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa akisaini kwenye kitabu cha tume ya uchuguzi  mara baada ya kurejesha fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Karagwe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)   kwa Godwin M. Kitonka ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Karagwe

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa akiwa na baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi baada ya kurejesha fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Karagwe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)   kwa Godwin M. Kitonka ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Karagwe

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Karagwe Godwin M. Kitonka(kulia) akitoa maelezo ya Uchaguzi baada ya kupokea fomu kutoka kwa Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa mgombea ubunge Jimbo la Karagwe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Karagwe Godwin M. Kitonka(aliyevaa suti nyeusi) akitoa maelezo ya Uchaguzi baada ya kupokea fomu kutoka kwa Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa mgombea ubunge Jimbo la Karagwe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)