Home Siasa SPIKA JOB NDUGAI ARUDISHA FOMU YA KUWANIA UBUNGE WA JIMBO LA KONGWA

SPIKA JOB NDUGAI ARUDISHA FOMU YA KUWANIA UBUNGE WA JIMBO LA KONGWA

0

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiwasili katika Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa kwa ajili ya kurudisha fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Kongwa Mkoani Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa, Dkt. Omary Nkullo wakati akielezewa utaratibu kabla ya kurudisha fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Kongwa Mkoani Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akijaza fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Kongwa kabla ya kuirudisha kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa, Dkt. Omary Nkullo (hayupo kwenye picha) tukio lililofanyika leo katika Ofisi za Halmashauri hiyo Mkoani Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akirudisha fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Kongwa kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa, Dkt. Omary Nkullo tukio lililofanyika leo katika Ofisi za Halmashauri hiyo Mkoani Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)